Dotor wa saikolojia anapatikana wapi hapa tanzania

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Jamani WanaJF,

Nina matatizo makubwa sana ya kisaikolojia ambayo yanaathiri sana maisha yangu ya kila siku. Kuna sometimes nawaza hadi kufa, vipi kwa wanaojua kama hapa Tanzania kuna sehemu wanazoweza kutibu matatizo ya kisaikolojia naomba waniambie.

Natanguliza shukrani..
 
Jamani wana jf nina matatizo makubwa sana ya kisaikolojia ambayo yanaathiri sana maisha yangu ya kila siku kuna sometimes nawaza hadi kufa, vp kwa wanaojua kama hapa tanzania kuna sehemu wazoweza kutibu matatizo ya kisaikolojia naomba wanambie, natanguliza shukrani

njoo MUhimbili,muulizie Dr Kajula...au nenda PSCHATRY department
 
mkuu pole kwa matatizo...

lakini nakusihi before kwenda huko unaweza pata hapa JF Pre-advice..
Eleza linalokusibu.
 
Back
Top Bottom