Aliyekuwa muigizaji maarufu nchini Dotnata, ambaye baadaye aligeukia katika muziki hivi sasa amemua kuwa mwanachama kabisa wa Kanisa la Tb Joshua la nchini Nigeria huku akisema lengo lake kubwa ni kumrudia mungu moja kwa moja. Dotnata ambaye hivi karibu alikuwa kwenye mwaliko wa mwaka mpya katika kanisa hilo, alisema kwa sasa atahakikisha kwamba arudii makosa ambayo aliyafanya kipindi kile cha Zamani. Kujua na picha zaidi SOMA