1. usiiweke gari chini ya mti. kinyesi cha ndege na maua yanayodondoka kwenye gari yanaua rangi haraka.,
Ni kweli kabisa Mkuu namba tatu inahusika sana japo wengi hatuitilii maanani.[/B]
hahahahahaa....
Gari yeyote ile zingatia:
1. Service Kwa wakati, na unatumia parts ambazo ni GENUINE always
2. Tumia amfuta safi tu epuka vituo vinavyochakachua mafuta
3. Gai isiendeshwe hovyo hovyo na "kila mtu" bila sababu maalumu,
4.....
Vipi kuhusu kulipaki juani kwa muda mrefu
Dos and Donts1.Acha accelaration za haraka haraka..
2.Inspect na usafishe Oxygen sensors, MAF sensors
3.Badislisha air cleaner kila unapofanya service.. kwa mazingira ya wengi wetu ( ukiacha wa masaki) kuipuliza na upepo haitoshi.. cant get it clean
4.Usioshe na Sabuni kali za detergent zinachosha rangi
5.Usiweke mafuta mchan wa jua kali- mengi yatapotea maana yanakuwa too much upepo (gas)- weka asubuhi na mapema wakati kuna ubaridi unapata mengi.
6.
kwa wanaopenda mwendo mkali kama mimi:
1. Hakikisha una matairi mazima
- Yasiwe yameisha muda wake ( huwa zina expiry miaka 4 from date of manufacture)
- ukiona tairi zako zina crakes ujue zishaexpiry..( tiketi ya ajali hiyo)
- Tairi hata kama haijatumika kabisa kama imeisha muda wake inapoteza elasticity yake kabisa.. so badala ya
kutanuka inapopata joto yenyewe inachanika
2. Fanya wheel alignement inaongeza stability- Ukiona gari yako inatetemeka unapokuwa spidi kubwa jua alignment kushney
3. Fanya wheel balancing kuhahkikisha tairi zako haziishi upande
4. Rotate tairi kila baada ya miezi sita ( from mbele to nyuma na kulia to kushoto) muhimu sana kwa wenye AWD vehicles
5.Hakikisha unaweka upepo kulingana na manufactures recomendations.- Gari nyingine ni 28psi wakati zingine ni 36psi.- upepo ukizidi/kupungua tiketi ya ajali
6. hakikisha brake zako ziko sawa.. usisubiri mpaka zianze kupiga kelele ndo ujue zimeisha

Mkuu hapo namba mbili gari inapokuwa kwenye mwendo haiwezekani kupiga gear ya reverse na ukaingia, mfano ukiendesha let say gari yako ni manual wakati unabadilisha gear toka na.3 kwenda na.4 hata kama itatokea bahati mbaya gia liva umeipeleka usawa wa reverse itapiga kelele kisha wewe unaivuta kushoto kidogo inaingia
Kwa upande wa automatic hapa kidogo kuna shida kwa kuwa madereva wengi huwa tunaingia barabarani kwa kuwa ni rahisi kuliendesha ila nalo reverse haiwezi kuingia kama gari lipo kwenye mwendo kwani gia liva inapokuwa pale kwenye D wengi anapoihamisha kwenda kwenye neutral huwa wanaisogeza huku amebonyeza ile button kubwa juu ya over drive (hapa ndio penye shida kwani gari ya automatic kutoka D kwenda Neutral unasukuma tu bila kubonyeza ikifika kwenye N inagota na haiendi kwenye reverse na the same kama ukiisogeza kwenye D 2 nako inasogea ila ukitaka iende L au reverse ndio unabonyeza ile button. Hii huwa inawakumba wale wazee wa kutaka kutumia neutral kwenye mteremko wanajisahau kusogeza tu gia liva wao wanasogeza gia liva huku wamebonyeza (jaribu tu kesho uone maana gia liva ya auto inasogea freely kwenye D, N na 2 inapokuwa kwenye mwendo except kwenye L na R ndipo unabonyeza kitufe kikubwa ndio inaingia
JF ina vitu vingi sana, kwa sababu inakutanisha watu wa fani anuwai. Ndio faida yenyewe ya mtandao huu.
du nikusahihishe kidogo kwenye wheel alignment na balance umeeleza kinyume .....balance ni stability ufikapo 80 kph ...alignment ni tyre wear
Nipo kwenye computerised garage kwa sasa mkuu; na kwa bahati na shule imepanda, mzee wangu alikuwa mwalimu wa mitambo magari miaka ya 1940 wakati wa vita kuu. Kwa hiyo nina damu ya magari. Liseni yangu ya udereva (class C)nilipata 1967 baada ya kusota na test za magoa kwa miezi sita. No accident, magari yangu yako poa.umetisha mkuu utafikiri kinana na tembo vile
du lazima utakuwa ni mwalimu wa driving school,thanks
Dos and Donts1.Acha accelaration za haraka haraka..
2.Inspect na usafishe Oxygen sensors, MAF sensors
3.Badislisha air cleaner kila unapofanya service.. kwa mazingira ya wengi wetu ( ukiacha wa masaki) kuipuliza na upepo haitoshi.. cant get it clean
4.Usioshe na Sabuni kali za detergent zinachosha rangi
5.Usiweke mafuta mchan wa jua kali- mengi yatapotea maana yanakuwa too much upepo (gas)- weka asubuhi na mapema wakati kuna ubaridi unapata mengi.
6.
kwa wanaopenda mwendo mkali kama mimi:
1. Hakikisha una matairi mazima
- Yasiwe yameisha muda wake ( huwa zina expiry miaka 4 from date of manufacture)
- ukiona tairi zako zina crakes ujue zishaexpiry..( tiketi ya ajali hiyo)
- Tairi hata kama haijatumika kabisa kama imeisha muda wake inapoteza elasticity yake kabisa.. so badala ya
kutanuka inapopata joto yenyewe inachanika
2. Fanya wheel alignement inaongeza stability- Ukiona gari yako inatetemeka unapokuwa spidi kubwa jua alignment kushney
3. Fanya wheel balancing kuhahkikisha tairi zako haziishi upande
4. Rotate tairi kila baada ya miezi sita ( from mbele to nyuma na kulia to kushoto) muhimu sana kwa wenye AWD vehicles
5.Hakikisha unaweka upepo kulingana na manufactures recomendations.- Gari nyingine ni 28psi wakati zingine ni 36psi.- upepo ukizidi/kupungua tiketi ya ajali
6. hakikisha brake zako ziko sawa.. usisubiri mpaka zianze kupiga kelele ndo ujue zimeisha
Hapana mkuu mie nimejifunza gari mtaani na nilianza kwa gari manual na nilikuwa ninajiuliza hivi ukitaka kuingiza gia namba 4 bahati mbaya ikaingia reverse itakuaje hasa ukizingatia manual huwa mpaka uizoee na kukimbia speed inahitaji muda kiukweli nilikuwa ninaishia gia na.3 na ikifikia naingiza gia na 4 nilikuwa nina hofu kweli kwa kuingiza taratibu na mara nyingi nilikuwa najikuta inaingia na 2 na engine kuunguruma kwa nguvu kwa kuwa nimeitoa gia ndogo kwenda kubwa kitu ambacho ni hatari ndipo aliekuwa ananipa mwongozo akaniambia nisigope kwa kuwa haiwezekani kuingia reverse sana sana itapiga kelele kama meno yanaumana hivi, the same nilipokuja kuendesha automatic nako nilikuwa najiuliza baada ya kuona wengi waliokuwa wananielekeza wananiambia nikibadilisha gia nibonyeze button ya juu kitu ambacho kwa hizo gia tatu za D, 2 na N inasukumwa tu
Nipo kwenye computerised garage kwa sasa mkuu; na kwa bahati na shule imepanda, mzee wangu alikuwa mwalimu wa mitambo magari miaka ya 1940 wakati wa vita kuu. Kwa hiyo nina damu ya magari. Liseni yangu ya udereva (class C)nilipata 1967 baada ya kusota na test za magoa kwa miezi sita. No accident, magari yangu yako poa.
Asanteni nimepata darasa tosha
ukifaidika usiache kurudi kwenye jukwaa ili nasi tukafumue engines kabisaMkuu kama una garage ya uhakika nikuletee VW yangu nipi mbeya huku kumwaga oil tu mafundi wanaharibu waneshaniharibia sana hii gari next month mwishoni nakuja nayo mjini kuitengeneza kama upi fit nikutafute matatizo mengi ni umeme lakini