GE2025 Dorothy Semu: Wananchi wasimame kidete kulinda kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema chama chake kimeamua kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ili kutetea na kulinda demokrasia nchini, akisisitiza kuwa ni haki ya kila mwananchi kuchagua viongozi wanaoweza kuleta maendeleo.

Amebainisha haya Busega, mkoani Simiyu, Semu na kwamba haki ya kupiga kura imekuwa ikiporwa na kukandamizwa kwa miaka mingi, lakini sasa ni wakati wa wananchi kusimama kidete kuilinda.

Ameongeza kuwa licha ya changamoto nyingi katika mifumo ya uchaguzi, ACT Wazalendo haijasita kushiriki kwa sababu imedhamiria kuhakikisha sauti za wananchi zinasikika.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kauli hiyo ya Dorothy Semu ni mwendelezo wa msimamo wa ACT Wazalendo kujitokeza kwa nguvu katika uchaguzi wa mwaka huu, licha ya kuwepo kwa miito kutoka kwa baadhi ya vyama vya upinzani ya kususia uchaguzi huo.

Mseng# kweli huyu
 
Kura za nini wakati viongozi wameshachaguana?
 
Kulinda kura ni kubaki nayo nyumbani, sio kwenda kuvunjana miguu kisa zitto aende bungeni huku nyuma aache vilema sio...
 
2020 Jusa alipelekwa Nairobi Hospital akiwa na majeraha ya kutisha.
 
ndio mapambani mama, hii ni afrika sio Ulaya uliko wewe. Chadema hawawezi pata demand wanazozitaka kwa CCM, ACT wamkubali kuishi kwenye uhalisia tu.
 
Back
Top Bottom