Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,777
“Kutokana na kadhia hii ambayo mmeisikia kwanza baada ya matukio haya yote kuanzia tarehe 13 mpaka leo tarehe 16 tunafanya press hii hatujasikia chochote kutoka kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzanka kutoka kwa Wizara ya Mambo ya Nje kwamba ni nini hasa kilitokea mpaka viongozi kutoka Tanzania wenye mamlaka makubwa katika nchi wakazuiwa kuingia Angola kwa hiyo tunaitaka serikali itoke hadharani na itoe kauli kuhusiana na tukio hili. Lakini pili tunaitaka serikali imuite Balozi wa Angola nchini Tanzania ili ajieleze kuhusiana na kadhia hii iliyotokea.”
Dorothy Semu Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo akizungumza leo na wanahabari juu ya tukio la wao kuzuiwa nchini Angola.
Pia soma ACT: Viongozi wetu waliozuiwa kuingia Angola wamerejea Nchini, tunasikitishwa na ukimya wa Serikali ya Tanzania