GE2025 Dorothy Semu: Tusikubali CCM ipite bila kupingwa, tukalinde kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amesema kuwa chama chake kinaingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa lengo kuu la kulinda thamani ya kura ya Mtanzania, kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakipitwi bila kupingwa na kutumia uchaguzi kama jukwaa la kusikiliza na kuzungumza masuala halisi yanayowagusa wananchi.

Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la Sapiwi, Jimbo la Bariadi Vijijini, mkoani Simiyu, Julai 5, 2025, Semu amesisitiza kuwa uchaguzi huu si wa kawaida, bali ni fursa kwa Watanzania kudai heshima ya kura yao na kupaza sauti dhidi ya uonevu wa kisiasa unaotokana na matumizi mabaya ya vyombo vya dola.

Bi. Semu amewaonya maafisa wa vyombo vya dola kutotumika kama silaha za kuwanyamazisha wapinzani au kukandamiza harakati za kisiasa. Amesema kuwa taasisi hizo ni kwa ajili ya kulinda haki na amani ya wananchi wote bila kujali itikadi au chama chao.

Njia bora ya kulinda kura na mfumo mzima wa Uchaguzi , ni kuunga mkono MOVEMENT ya NO REFORMS NO ELECTION..nje ya hapo ni POROJO na UTAPELI...ACT sijui mmekuwaje masikini
 
Ngoja tuone watu watakavyofurushwa vituoni na kubondwa baada ya kupiga "kula" zao.👊🧐
Hawa watafanya maigizo ambayo wameshapenga tayari, trust me. CCM imeshapanga itawapa majimbo kadhaa (japo ni machache sana), halafu kwenye hayo majimbo, ''watacheza mchezo'' wakulinda kura, vijana wa ACT watajitokeza na polisi itajifanya kuzidiwa na watatangazwa washindi. Upande wa Zanzibar watapewa Pemba kama ilivyo kawaida ila urais wasahau. Wangekuwa na uwezo wa kulinda kura miaka yote wanayoshinda urais Zanzibar mbona hawalindi na kutangazwa?
 
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amesema kuwa chama chake kinaingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa lengo kuu la kulinda thamani ya kura ya Mtanzania, kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakipitwi bila kupingwa na kutumia uchaguzi kama jukwaa la kusikiliza na kuzungumza masuala halisi yanayowagusa wananchi.

Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la Sapiwi, Jimbo la Bariadi Vijijini, mkoani Simiyu, Julai 5, 2025, Semu amesisitiza kuwa uchaguzi huu si wa kawaida, bali ni fursa kwa Watanzania kudai heshima ya kura yao na kupaza sauti dhidi ya uonevu wa kisiasa unaotokana na matumizi mabaya ya vyombo vya dola.

Bi. Semu amewaonya maafisa wa vyombo vya dola kutotumika kama silaha za kuwanyamazisha wapinzani au kukandamiza harakati za kisiasa. Amesema kuwa taasisi hizo ni kwa ajili ya kulinda haki na amani ya wananchi wote bila kujali itikadi au chama chao.

Hawa ndio tatizo la nchi hii wala sio ccm
 
Kwa Zanzibar labda vikosi vya majeshi kama KMKM vifutwe kwanza
Niliyoyasikia toka kwa mwanajeshi wa bara aliyepo huko yanasikitisha
 
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amesema kuwa chama chake kinaingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa lengo kuu la kulinda thamani ya kura ya Mtanzania, kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakipitwi bila kupingwa na kutumia uchaguzi kama jukwaa la kusikiliza na kuzungumza masuala halisi yanayowagusa wananchi.

Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la Sapiwi, Jimbo la Bariadi Vijijini, mkoani Simiyu, Julai 5, 2025, Semu amesisitiza kuwa uchaguzi huu si wa kawaida, bali ni fursa kwa Watanzania kudai heshima ya kura yao na kupaza sauti dhidi ya uonevu wa kisiasa unaotokana na matumizi mabaya ya vyombo vya dola.

Bi. Semu amewaonya maafisa wa vyombo vya dola kutotumika kama silaha za kuwanyamazisha wapinzani au kukandamiza harakati za kisiasa. Amesema kuwa taasisi hizo ni kwa ajili ya kulinda haki na amani ya wananchi wote bila kujali itikadi au chama chao.

Ana uhakika wa URC kama Mama Anna Mgwila alivyoukwa nae alipogombea au Queen Sendiga🤣🤣🤣baadae zinakujaga story nchi kwanza ushalamba asali 2025 iwe mwisho wa vishoka wa siasa nchini kama tunaipenda kweli nchi yetu

No reform No Election
 
Back
Top Bottom