doria ya POLISI na BAISKELI????

Mjanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,238
324
Mapambano dhidi ya uhalifu polisi wakitumia baiskeli inawezekana???
 
Haukuwa mpango wao,walipewa msaada na kampuni ya Home Shopping Centre
 
the question here is workability yake? Nyang'anyi linalotumia chombo cha moto-Polisi chombo baridi is it fare?? je ni lazima kupokea kila msaada hata kama matumizi yanayoelekezwa si sahihi????
Haukuwa mpango wao,walipewa msaada na kampuni ya Home Shopping Centre
 
jaman serikal iboreshe jjeshi la polis kwa kutoa vifaa vya kisasa, baiskel wap na wap na polis bwanaa! serikal achen utan jaman
 
Back
Top Bottom