Si waanze kudai sasa,hawana msaada wowote kwenye Muungano wanatutia hasara tu, mfano wao ndio wadaiwa sugu wa TANESCO wanadaiwa billion 56, lakini ajabu mgao wa umeme hauwagusi kamwe, sasa wanini, wamekuwa mzigo kwetu for over 40 years, I think it is a high tyme now wondoke warudi tu kwao![/QUOTE]
Kama Wa Zanzibari hawautaki Muungano basi ni haki yao na ni muhimu kufanyika kwa kura ya maoni ili kuhakikisha kuwa hawautaki Muungano lakini kauli zako hizi za kuropoka hapo kwenye maandishi ya rangi nyekundu, yanaonyesha chuki na ubaya wa roho yako dhidi ya ndugu zetu wa Zanzibari! Huko Sudan ya kusini wameamua kutengana tena kusini haikuwa nchi kamili kama ilivyo Zanzibar lakini wa Sudani kusini walioko Kaskazini bado wanaishi huko na wanaendelea na kazi zao kama kawaida!
Wa Zanzibar wanaoishi bara na wa Bara wanaishi Zanzibar ni hali ya kawaida ya integration kati ya wakazi wa sehemu hizi mbili! hivyo kauli zako hizi za chuki zinaonyesha wewe umetoka nje ya mikoa ya Pwani ambazo wenyeji wake wamezaliana na wenzao toka Visiwani!
Kauli zako za kujenga chuki kati ya Bara na Visiwani hazina msingi na wala hazitatufanya kuacha kushirikiana na ndugu zetu toka visiwani hata kama Muungano utavunjika!
Si waanze kudai sasa,hawana msaada wowote kwenye Muungano wanatutia hasara tu, mfano wao ndio wadaiwa sugu wa TANESCO wanadaiwa billion 56, lakini ajabu mgao wa umeme hauwagusi kamwe, sasa wanini, wamekuwa mzigo kwetu for over 40 years, I think it is a high tyme now wondoke warudi tu kwao![/QUOTE]Kama Wa Zanzibari hawautaki Muungano basi ni haki yao na ni muhimu kufanyika kwa kura ya maoni ili kuhakikisha kuwa hawautaki Muungano lakini kauli zako hizi za kuropoka hapo kwenye maandishi ya rangi nyekundu, yanaonyesha chuki na ubaya wa roho yako dhidi ya ndugu zetu wa Zanzibari! Huko Sudan ya kusini wameamua kutengana tena kusini haikuwa nchi kamili kama ilivyo Zanzibar lakini wa Sudani kusini walioko Kaskazini bado wanaishi huko na wanaendelea na kazi zao kama kawaida!
Wa Zanzibar wanaoishi bara na wa Bara wanaishi Zanzibar ni hali ya kawaida ya integration kati ya wakazi wa sehemu hizi mbili! hivyo kauli zako hizi za chuki zinaonyesha wewe umetoka nje ya mikoa ya Pwani ambazo wenyeji wake wamezaliana na wenzao toka Visiwani!
Kauli zako za kujenga chuki kati ya Bara na Visiwani hazina msingi na wala hazitatufanya kuacha kushirikiana na ndugu zetu toka visiwani hata kama Muungano utavunjika!
Umeongea kadogoo,hawa watu wa kuja ndio matatizo yao ya chuki na ubaguzi,,hawajui kuwa watu bado ni ndugu hata uvunjike muungano,tatizo la kujitoa kimuuongano ni malahi ya nchi,na wananchi,na udugu hautapotea.
Pia nawaeleza kuwa watanganyika sisi suala la muungano kama ni mzigo kwenu basi sisi tunataka tuutue hu mziogo katika kichwa chenu cha muungano,ndio mana tunadai mamlaka yetu ya kitaifa na kimataifa ili iwe nchi huru yenye kujiendesha wenyewe,na hapo ndipo huo mzigo muonao nyie wa kutubeba sisi itakuwa tumeondoa si munavyo hisi ? lakini nawaleza kuwa zanzibar ndio inayoibeba tanganyika na ndio nyinyi munaofaidika,kwa kutumia mgongo wa zanzibar,,,,
..ni vigumu sana kuelewa msimamo wa wa-Zanzibar.
..kwanza wanasema hawataki muungano, halafu wanageuka wanasema makubaliano ya muungano yamekiukwa.
..kama hawataki muungano, basi waachane na hoja kwamba makubaliano ya muungano yamekiukwa. badala yake wajenge hoja kwamba muungano ni hasara na usumbufu kwa wa-Zanzibar.
..pia kuna wakati hulalamika kwamba wanataka Raisi wa Zanzibar awe makamu ktk serikali ya muungano. sasa hii nadhani ni hoja ya watu wanaopenda muungano.
..kwa upande wa Tanganyika nadhani wengi, haswa wanasiasa, wanaona aibu au uwoga kutamka kwamba hawataki muungano. Watanganyika tunapaswa kujiuliza tunafaidika nini na muungano huu? je, ukiondoka tutapungukiwa na kitu gani?
Nimekuwa Znz kwa muda sasa. Nimekuwa nakaa vijiwe vya CCM (maskani) na CUF. Nilichogundua ni kuwa Wa Znz wapo kitu kimoja kuhusiana na maslahi yao. Wanapiga sana vita muungano kwa madai kuwa haujalinda maslahi yao. Nadhani katika mchakato wa katiba, Wa znz waachwe wajadili mambo yao halafu waje mezani tujadili pande zote ziridhike na aina ya muungano tunaoutaka. Hawa Wa znz wakiendelea kukandamizwa na kupuuzwa, kuna siku watadai nchi yao na hatutaweza kuwazuia. Moto wa nchi za kiarabu utaanza kuwaka znz unless tumewapa nafasi wa determine their own destiny. Ukiangalia kwa makini, marais wa Znz wamekuwa wanawekwa na Bara. Hii inawanyima nafasi ya kuchagua viongozi wanaowapenda. Chadema Znz au chama kingine wanaweza kuja na sauti ya utetezi wa maslahi ya Znz na haki yao ya kufanya maamuzi ipanuliwe. Ikija huja hii, CUF na CCM wataporomoka. Wa znz hawana mtetezi maana CUF baada ya kupewa madaraka hawatetei tena Wa znz.
Si waanze kudai sasa,hawana msaada wowote kwenye Muungano wanatutia hasara tu, mfano wao ndio wadaiwa sugu wa TANESCO wanadaiwa billion 56, lakini ajabu mgao wa umeme hauwagusi kamwe, sasa wanini, wamekuwa mzigo kwetu for over 40 years, I think it is a high tyme now wondoke warudi tu kwao!
Mafuta? kitu cha kufikirika hichoHasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano hawapati Visiwani!
Baadhi ya Faida watakazopata Zanzibar ikiwa watajitenga ni kama ifuatayo:
1) Zanzibar itajiunga na Jumuiya za Kimataifa kama vile OIC na kushirikiana moja kwa moja na jumuiya hii kwa faida na maslahi ya Zanzibar!
2) Zanzibar itafaidika na ushuru wake wa forodha bila kusimamiwa au kuingiliwa na TRA!
3) Zanzibar itakuwa kiuchumi baada ya kuitangaza kisiwa hicho kuwa ni Free Port kama ilivyo Dubai na Hongkong!
4) Zanzibar itaachana na siasa za kijamaa au nchi isiyokuwa na dini na badala yake kujali mila na desturi zenye kuegemea maadili ya Kiislamu na hivyo kusaidia kupunguza madanguro na vilabu vya pombe na ukimwi na madawa ya kulevya kupungua kwa kasi kubwa!
5) Vyanzo vya kazi kuanzishwa na kupunguza ukosefu wa kazi uliosababishwa na utawala wa TZ chini ya siasa mbovu zilizoasisiwa na Julius K. Nyerere!
6) Utawala wa sheria utapamba moto na kufanya tawala za kimabavu na za wauwaji kama za Benjamin Mkapa kuwa historia ktk visiwa hivyo!
..ni vigumu sana kuelewa msimamo wa wa-Zanzibar.
..kwanza wanasema hawataki muungano, halafu wanageuka wanasema makubaliano ya muungano yamekiukwa.
..kama hawataki muungano, basi waachane na hoja kwamba makubaliano ya muungano yamekiukwa. badala yake wajenge hoja kwamba muungano ni hasara na usumbufu kwa wa-Zanzibar.
..pia kuna wakati hulalamika kwamba wanataka Raisi wa Zanzibar awe makamu ktk serikali ya muungano. sasa hii nadhani ni hoja ya watu wanaopenda muungano.
..kwa upande wa Tanganyika nadhani wengi, haswa wanasiasa, wanaona aibu au uwoga kutamka kwamba hawataki muungano. Watanganyika tunapaswa kujiuliza tunafaidika nini na muungano huu? je, ukiondoka tutapungukiwa na kitu gani?
mkuu.I have come to believe that there are Zanzibaris in JF who come in & pretend to be non-Zanzibaris. I respect more those who come out & admit they are Zanzibaris & are fighting for Zanzibar.
Nimekuwa Znz kwa muda sasa. Nimekuwa nakaa vijiwe vya CCM (maskani) na CUF. Nilichogundua ni kuwa Wa Znz wapo kitu kimoja kuhusiana na maslahi yao. Wanapiga sana vita muungano kwa madai kuwa haujalinda maslahi yao. Nadhani katika mchakato wa katiba, Wa znz waachwe wajadili mambo yao halafu waje mezani tujadili pande zote ziridhike na aina ya muungano tunaoutaka. Hawa Wa znz wakiendelea kukandamizwa na kupuuzwa, kuna siku watadai nchi yao na hatutaweza kuwazuia. Moto wa nchi za kiarabu utaanza kuwaka znz unless tumewapa nafasi wa determine their own destiny. Ukiangalia kwa makini, marais wa Znz wamekuwa wanawekwa na Bara. Hii inawanyima nafasi ya kuchagua viongozi wanaowapenda. Chadema Znz au chama kingine wanaweza kuja na sauti ya utetezi wa maslahi ya Znz na haki yao ya kufanya maamuzi ipanuliwe. Ikija huja hii, CUF na CCM wataporomoka. Wa znz hawana mtetezi maana CUF baada ya kupewa madaraka hawatetei tena Wa znz.
Si waanze kudai sasa,hawana msaada wowote kwenye Muungano wanatutia hasara tu, mfano wao ndio wadaiwa sugu wa TANESCO wanadaiwa billion 56, lakini ajabu mgao wa umeme hauwagusi kamwe, sasa wanini, wamekuwa mzigo kwetu for over 40 years, I think it is a high tyme now wondoke warudi tu kwao!
Kama hawajui wao ndiyo wanaufaidi zaidi lakini ndiyo walalamishi zaidi,
ok hiyo kura ya maoni iletwe,tuipige kila mtu apate anchostahili,halafu tupime baada ya hapo nani ana uhuru zaidi na nani kaupoteza zaidi,siombei upande wowote upoteze kwa kujitenga lakini tukubaliane na matokeo vilevile
Mpaka sasa wana raisi,bunge lao,jeshi lao(hata kama sio rasmi),katiba yao,bendera yao sijui nk,tumalizie na hivyo vichache vilivyobaki