Don't miss this,mitumba mizuri

Don't miss this,mitumba mizuri

Duly zura

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
411
Reaction score
37
Wakazi wa Arusha na mikoani, nawaletea Mitumba ambayo ni first grade, viatu vizuri mwenyewe utaridhika ukiviona, free delivery popote ndani ya Arusha mjini.

Bei ina range from 35-50, duka lipo Mbauda adjacent to Azania Bank.

For more info, call: +255-714-478-797

Check sample hizo.
 

Attachments

  • IMG_20150131_232440.jpg
    IMG_20150131_232440.jpg
    599.1 KB · Views: 523
  • IMG_20150131_232454.jpg
    IMG_20150131_232454.jpg
    613.9 KB · Views: 493
  • IMG_20150131_232513.jpg
    IMG_20150131_232513.jpg
    629.6 KB · Views: 496
  • IMG_20150131_232539.jpg
    IMG_20150131_232539.jpg
    569.3 KB · Views: 484
  • IMG_20150131_231737.jpg
    IMG_20150131_231737.jpg
    652.4 KB · Views: 446
Nimependa hicho kiatu cheusi picha number tatu.Mie mdada naweza kukivaa?Ni bei gani?
 
nauli ya kutoka Dar hadi Arusha ni sh. ngapi? nataka nije kununua hiyo namba 4
 
haha faith nimependa ulichouliza,kwakweli siwez kucomment japokua kuna wadada huku Arusha naona wanavaa vya style hiyo@
Tamalisa gharama zote za nini?kuliko utoe 50,000 go and return to Arusha si bora kiatu kitumwe kwenye basi tu ukakipokee stand ambayo haitazd elf8
vipo vingine vizuri zaidi,hizo ni baadhi ya za pair tu! karibuni
 
Duly nimechukua namba yako jion ntakutafuta kuvitu natala unishauri
 
kaka hyo simpo namba nne mbna kama nmeiona kariakoo kwenye maduka ya midosho.. Ni mitumba kweli hyo au?
 
Viol unavaa namba ngapi baba nikuagizie.
 
Last edited by a moderator:
kaka hyo simpo namba nne mbna kama nmeiona kariakoo kwenye maduka ya midosho.. Ni mitumba kweli hyo au?

karibu ukague mwenyewe boss wangu,ukikuta ni mdosho nakupa bure uondoke nayo japo kimeshauzwa,dukan kitakuwepo kama show tu ila kimelipiwa tyr
 
Embunikupe kazi ulizia mpwa how!faiza!miss Dada wanavaa namba ngapi nipm pls usiwekehadharanii
 
Ukiwekahadharaniutawalipiawewewwee
 
Sofar ghana2 Guinea.b 0 wale was bet kumywaboayatatu tukutane fainalii
 
asanteni kwa mlonichek pm na kunipigia,hope mambo yameenda sawia!karibun jmn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom