Dont Mess with Vladimir Putin

Mmoja wa majasusi wliokubuhu wa KBG. Waliopanga mipango iliyotikisa dunia.

Umahiri wake ktk mambo ya kijasusi yalimfanya kupanda mpaka kufikia ngazi ya ukurugenzi wa KBG Kabla ya kupewa wizara ya ulinzi na rais wa wakati huo Boris Yestin ampbapo alifanikisha kwa asilimia 100 kuzima uasi wa waislaam wa Chechnyia mwanzoni mwa miaka ya tisini.
 
izo picha za judo hata kama ndo ningekuwa ni mimi namfundisha ni lazima nijidondoshe kuonesha Rais anaweza. hahahaha
 
Back
Top Bottom