CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
How about drinking and riding...........!
sawa mkuu hata maziwa aya
Kwani TANGAZO linasemaje???
Hahahahaaah,,,,,,,!! Nilijua hawa madereva wetu tena..
Dont drink and drive
Hahahahaha lol!!!! Imebidi nicheke tu maana nilipokiona kichwa cha habari tu basi nikawa nimeshajenga nondo kibao za kuweka hapa kuhusu topic hii..., kumbe lol!!!! 🙂
Hawajasema aina ya kinywaji... Bali vitu vyote vinavyonyweka!!
Hahahahaha lol!!!! Imebidi nicheke tu maana nilipokiona kichwa cha habari tu basi nikawa nimeshajenga nondo kibao za kuweka hapa kuhusu topic hii..., kumbe lol!!!! 🙂
Hahahaha...umenifanya nicheke mbele ya watu mkuu
how about drinking and riding...........!
Nani kakupa smart phone uchezee?Ovyooo.
ndio nilidhani jamaa wameharibu tena maana wiki hii ni kama wamedhamiria.Mkuu ulifikiri wameua tena??