B bestmale JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 3,067 Reaction score 1,809 Jun 1, 2020 #1 Harmonize miaka 4 nyuma alikuwa anauza maji sasa anawafanya kazi wasomi kama Dr. Jembe na mjerumani na choppa na domo, miaka 10 nyuma huko alikuwa anaokota machupa sasa anawafanya kazi waliosoma hatari. Kaeni tu kutukana hapa maisha ndo haya haya
Harmonize miaka 4 nyuma alikuwa anauza maji sasa anawafanya kazi wasomi kama Dr. Jembe na mjerumani na choppa na domo, miaka 10 nyuma huko alikuwa anaokota machupa sasa anawafanya kazi waliosoma hatari. Kaeni tu kutukana hapa maisha ndo haya haya
Chabrosy JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 2,651 Reaction score 3,191 Jun 1, 2020 #2 Aya sawa amshukuru Dimond 121.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,587 Jun 1, 2020 #3 Na wewe je