Loh una hatari wewe! Na huo ujumbe umfikie nani vileeeee . . . .??????Au unakuta tangu tunaanzana nilikua napigaga kimoko, leo anadai viwe viwili , nikimwambia siwezi , naambiwa nimeanzia chocho kwanza, kwake nasuuza tu ! Hamtosheki ?
Mbona povu kaka, cie maras hatuwagi hivyo
hahahahaahahah wazee wa moja hawa hapa hahahahah mwanamme wa kimoko sio rijali hahahahah ila Judgement nimekumis umepotelea wapi au umefichwa na kimoko chako hahahahaahahahahahaAu unakuta tangu tunaanzana nilikua napigaga kimoko, leo anadai viwe viwili , nikimwambia siwezi , naambiwa nimeanzia chocho kwanza, kwake nasuuza tu !
Hamtosheki ?
hutaki unaach amapenzi ni kama brela BIASHARA ZINAKUFA KILA SIKU NA WAO WANASAJILI MPYA KILA SIKUndio tumekutana na tukapendana,nikiwa na hizi raster zangu..iweje leo uniambie ninyoe nimefuga miaka 8 nimezigaramia kama mtoto,umenikuta na washikaji zangu iweje leo uniambie niwatenge unajua tulipo toka?umenikuta niko karibu na famila yangu mbona kuingia wewe unataka tuanze kufarakana nao..plz don't change m....let me be me.japo nakupenda
Hivi unajua zamani ulikua mpole sana...got my eyes on you!!!
Hivi unajua zamani ulikua mpole sana...got my eyes on you!!!
best lakini ni nini unacosema , niambie hukumaanisha
hivi huoni kuna mtu kule kanivuruga mwenzio
namaanisha sana mpendwa...
Loh una hatari wewe! Na huo ujumbe umfikie nani vileeeee . . . .??????