Don't ask me why!

vukani

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
245
165
Wakati mungu alipomaliza kazi ya uumbaji wake alimpa Malaika ndoo yenye maji matamu ili amwagie baadhi ya matunda ambayo alimuorodheshea, kama vile matufaa, machungwa, maembe, mananasi, nakadhalika ili yawe matamu.

Malaika yule alitii amri mara moja na kwenda kufanya kazi hiyo, na baada ya muda alirudi na kumwambia Mungu kuwa amekamilisha kazi hiyo lakini maji yamebaki.

Mungu akamuuliza yamebaki kiasi gani? Malaika akamjibu kuwa yamebaki kama robo tatu ya ndoo, Mungu akamwambia,

“hayo yote yaliyobaki nenda kayamwage kwa mwanamke”

Don’t ask me why women are so sweet…………………………
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom