Donors weigh CAG, PAC reports

Suppose the new CAG comes out with different findings? What will be the effect?

Unaandika kama Ngereja! Yaani unaombea aseme vinginevyo, halafu iweje? Eti jeuri ya CCM wanashauri tusiwategemee donors wakati wanafahamu mkiti anarudi huko tena hivi karibuni kuangaliwa sehemu za siri tena? Hahaaaaa! Umaskini taabu kabisa.
 

mkuu, ni kweli magamba wameshikwa pabaya na wameshikwa kwa wakati muafaka...muda si mrefu serikali itatangazwa mufilisi...nchi iko hoi bin taabani...mambo hayaendi. na wahisani wakidinda kutoa hizo hela lazima serikali ikawasalimie kwa heshima. haya yote yanasababishwa na mtu mmoja tu...SINGASINGA. hii nchi ni ya ajabu sana i see!
 
Last edited by a moderator:
The Parliament will have to meet and instruct PAC to evaluate the new report and see if they can come up with any new recommendation to guide the discussion

Under which resolution will the parliament be working in line with? Were there any loophole for that? Rubbish thinking?
 

Ni kwanini hasa JK anaona aibu kuwafukuza hao WEZI na kumkamata Singasinga? Hivi anataka wananchi waendelee kufa mahospitalini mpaka lini? Tunafahamu kwamba yeye tezi dume lake analitibia marekani wakati walalahoi wakifariki kila siku kule ocean road hospital. Ni heri JK atumie busara kuwafukuza wezi na kutaifisha vijisenti vyao walivyochota kutoka ESSCROW kuliko kuwaacha wananchi wasiokuwa na hatia wakifa kila kukicha. Nchi hii imefika hapa kwa sababu ya uongozi wa kibwege kutoka kwa serikali ya kifisadi ya CCM.
 
Reactions: BAK
....labda naye alipewa mgao mnene na hao wapata mgao wengine wanalijua hilo hivyo wameshamtisha ukimwaga ugali sie tunamwaga mboga, labda ndio sababu kulikuwa na juhudi kubwa sana ya kuhakikisha ripoti ya CAG haijadiliwi Bungeni na haya kulikuwa na rumors kwamba kuna barua toka mahakama iliyozuia mjadala wa ripoti ya CAG usifanyike Bungeni na baada ya watu kutaka kuiona barua hiyo na pia kutaka kujua iliandikwa lini na nani aliyeiandika kukatokea sintofahamu nyingi huku mahakama ikisema hawajaandika barua kama hiyo na ofisi ya katibu wa Bunge ikidai haijapokea barua kama hiyo. Juhudi zote zile labda zilikuwa ni za kumsitiri Kingunge asiadhirike na hii kashfa kubwa. Haingii akilini wiki inakatika hakuna tamko lolote toka kwa Kikwete kuhusiana na mapendekezo ya PAC.

 
JK's silence on saga criticised

By Kalunde Jamal, The Citizen Correspondent

Posted Saturday, December 6 2014 at 11:59In Summary
Addressing a campaign rally in Kigamboni in Dar es Salaam on Thursday evening, Mr Mbowe noted that after what transpired during last week's Parliament session, the Head of State was supposed to act promptly to show the nation that his leadership does not tolerate corruption and unaccountability.

Dar es Salaam. Opposition Chadema national chairman Freeman Mbowe has queried President Jakaya Kikwete's silence on the Tegeta escrow account saga noting that his failure to act promptly shows some weakness in his leadership.

Addressing a campaign rally in Kigamboni in Dar es Salaam on Thursday evening, Mr Mbowe noted that after what transpired during last week's Parliament session, the Head of State was supposed to act promptly to show the nation that his leadership does not tolerate corruption and unaccountability.


He pointed out that siphoning Sh306 billion from an account held at the Bank of Tanzania (BoT) was not a small issue and the President was supposed to show that he was also in support of efforts to cleanse his government. "Today is the fifth day since the Parliament passed eight resolutions some of which call for his action. But we have not heard anything from President Kikwete. This shows that we have a weak government," said Mr Mbowe adding:

"Minister for Lands, Prof Anna Tibaijuka is still in office until this day despite publicly acknowledging to have received part of the money withdrawn from the escrow account. She is still signing various documents. Why those who have been named in this scandal are still holding public offices todate? Why are they being safeguarded?" He expressed his fear saying failure to act on the suspects promptly would give them time to frame their defence as well as swindle whatever they can lay their hands on.


Mr Mbowe said the escrow scandal was one of the serious issues that have rocked and paralysed the country and it was unbecoming for the Head of State to remain indifferent on a matter of such magnitude.

"What we see here is the game of safeguarding one another. One time Professor (Sospeter) Muhongo (the minister for Energy and Minerals) publicly declared that Tanzanians will not be given gas wells, instead he distributed the same to scandalous businessmen such as Habinder Singh Sethi who has stolen our money which was supposed to be paid to IPTL," he said.

He told the rally that should President Kikwete and his party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), fail to act accordingly, wananchi should take the issue in their hands and punish the ruling party in the polls.

 

Nakuunga mkono!! Walifanya jambo la maana sana kuzuia misaada ..bila hivo wezi wetu tusingewajua!!! Swaafi!!
 
Under which resolution will the parliament be working in line with? Were there any loophole for that? Rubbish thinking?

Have you ever thought of the government interfering with parliamentary discussion as it happened when the Escrow scandal was at its peak in Dodoma? Which article allows the government to intervene? Mr/Ms Bright Thinking! (Stupid thinking)
 
you have a donor slave mentality

You are leaders slavery, you better put yourself free frm blck slavery. They are helping tanzanian poor thru the gvt, then the officials fradulently manipulates the funds, who is a slav? Anaepinga wizi huu kwa nguvu zote au mwenye element kama zako zakuwatetea hawa majizi?
 
Have you ever thought of the government interfering with parliamentary discussion as it happened when the Escrow scandal was at its peak in Dodoma? Which article allows the government to intervene? Mr/Ms Bright Thinking! (Stupid thinking)

Lol! Ever thought! Me? or I? Never expect out of my sense to start thinking the unwanted! That amounts to stupidity! Isn't? That is what I called Rubbish! Suppose it happened, then should you expect it recurring? Do we have useless people to that low level you are placing your thinking?

We may need to communicate in all languages to avoid such ambiguities; btw, Vous êtes issu d'une famille que jamais réussir sans faire choses stupides? Avez-vous toujours de l'espoir de réussir en raison de mauvais événements? Vous semblez être en attente de mauvais événements et c'est votre référence!

Usiwe mtu wa kutegemea mabaya au upuuzi wa nyuma uwe ni sehemu ya maisha yako ya leo.
 
BAK katikakti ya matokeo ya kamati ya bunge na uchunguzi unaoendelea wa Takukuru na ufafanuzi unaosubiriwa wa CAG bado the guardian wakaona waende kumuhoji...hapo huoni kuwa walikuwa wanataka mheshimiwa balozi aseme yale wanayoyataka wao ili wapapte cha kuandika??? kwa nini hawasubiri kupisha mchakato wa uchunguzi na ufafanuzi???
Kwani nani aliwawekea mipaka ya nani wanaruhusiwa kumuhoji na nani hawaruhusiwi kumuhoji!? Waandishi wa habari hawatakiwi kukaa ofisini kusubiri habari ziwajie bali inabidi wazitafute kwa kila namna ali mradi tu wanafuata maadili ya kazi yao.
 
mimi pia naungana na hawa jamaa wanaotusaidia katika bajeti yetu ya kuwa waendelee kufanyia kwanza ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa serikali na pia ripoti ya takukuru kuhusiana na suala la ufisadi wa zaidi wa shilingi bilioni 306 katika account ya tegeta escrow ambapo inasemekana watu walikula hizo pesa na hadi sasa kuachia madaraka imekuwa ni shida wakati kamati ya bunge ilitoa mapendekezo ya wale wote waliohusika na suala hilo kuachia madaraka yao lakini pia wawajibishwe ikiwemo kufilisiwa mali zao kwani atanzania wengi wanapoteza maisha huko mahospitalini kwa kukosa dawa na watoto wa shule wanakaa chini kwa kukosa madawati wakati watu wachache wanafaid raslimali ya taifa hili. kwa maoni yangu hawa wote waliohusika na suala hili wanatakiwa wanyongwe hadi kufa kwani kuiba fedha kama hizo ni dhambi kama ilivyo dhambi ya kuua
 
"Hivi hata kupambana na rushwa na ufisadi nchini mwetu tunasubiri wazungu watusimamie?". Mkoroshokigoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…