Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

....lakini chama kinamfia mikononi. "mama Tanzania".
 
Wewe ni kichwa au mkia? Hebu tuanzie hapo kwanza...
 
Hujamuelewa.
 
watu wanamsifu mbatia,mtu huyu aliyekiua chama chake ili tu yeye apate kwa kujishikiza afikie lengo lake la kufika bungeni................tusubiri na tuone mwisho wa hii movie ni kali star na adui kama wote sawa tu,wote wamejiandaa kuicheza hii movie je,nani atakuwa wakwanza kujitoa kwenye movie??
 
Yulia amewekwa pale na dereva wa mwendo kasi, lakini pia kumbuka kua ukiona nyani amezeeka, amekwepa mishale mingi,batia ni jembe.
 

Vipi Mbowe na Maalim Seif Shariff ni vichwa siyo kwa kuwa wana wabunge zaidi ya mmoja?
 
Inabadilisha nini? Dada Tulia (PhD) ndiye Naibu Spika wa Bunge la JMTZ, Mbatia ni nani? kwanza hata amshukuru Raisi Kikwete kwa kumpa Ubunge wa viti maalumu kama Lucy kamata vinginevyo leo hii angekuwa anabeba mikoba ya fisadi Lowasa au Mbowe!
Mbatia ni mbunge wa kuchaguliwa kutoka, Moshi vijijini(Vunjo), kwenye uchaguzi alimshinda Mrema, kwa taarifa yako. Halafu jaribu kupunguza chuki zako kwa wapinzania........
 
WEWE KWELI MWEHU ALIYETEULIWA HUWEZI UKAMFANANISHA NA ALIYEPIGIWA KURA NA MAELFU YA WATU
 
Mkuu Mungu aepushie mbali tusipatwe na dharura ya kumfanya aongoze nchi, huyu Binti ametindikiwa hekima na busara.
 

Hee! Kwani Mbatia kasema hiyo miaka 25 alikuwa anapambana kwa ajili ya mafanikio yake yeye binafsi??? Embu rudia kupasoma tena...
 
Kwa mfumo tulionao wa kubebana wala haishangazi KILAeZA kuja kuwa kiongozi wetu.
 


Mnachokisema ni sawa na kusema Yanga anachukua makombe kila siku wakati Arsenal haichukui kule EPL hivyo Yanga ni bora kuliko Arsenal.. Mbatia angekuwa CCM kwa miaka yote hiyo angeshakuwa waziri siku nyingi sana hata Uspika kama angeutaka angeweza kuwa.. Yule shemeji yake wa kiukoo yule Marehemu si alikuwaga na cheo kikubwa tu huko chamani mpaka serikalini
 

Mbatia ameibua mambo mengi sana kitaifa amefumbua macho watanzania wengi sana katika hio miaka 25,saada aliotoa juu ya elimu na kuweka mawazo chanya, kufuta ujinga katika vichwa vya Watanzania inatosha kabisa kusema amefanikiwa unlike huyo aliewekwa na kutumika kimaslahi
 
always unaongea pumba sijui ni ushamba au unadhani utapewa viti maalum.

swissme
 
Wanaowabeza wapinzani wanaupungufu wa akili,Ili nchi iweze kupiga hatua ya maendeleo ni lazima kuwepo na msuguano wa mawazo au mawazo yaliyosigana
 
Mbatia awe mkweli, amefika hapo alipo kwa mbeleko ya CCM chini ya JK, au amesahu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…