mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 730
KUMBUKA YA KUWA MBATIA NI MBUNGE WA JIMBO NA DR TULIA NI MBUNGE WA VITI MAALUMU (HAKUOMBA KURA KWA WANANCHI).Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Ukawa tunasema utaifa kwanza yeye anasema tumbo kwanza
Nina hakika kauli hii kaitoa akizani watanzania wanamuelewa kama mpigania wanyonge kumbe walishajua ni mpigania tumbo???? Iko wapi haki ya yy Mbatia kupewa mkopo usio na riba!! iko wapi haki ya yy kulipwa posho ya kukaa shs 220,000 ilihali anajua kuwa kima cha chini cha mshahara ni 170,000 na pamoja na kulipwa anatoka nje?? huku akijua mtumishi wa umma halipwi chochote asipoonekana kazini kwa siku 5 tu na huishia kufukuzwa kazi?? hivi leo ni huruma gani waliyonayo akina mbatia zidi ya wanyonge wao? hivi hii ndiyo dhana ya uwakilishi kama jukumu walilonalo mbele ya watanzania waliowachagua?? kuzila, kugoma kuingia bungeni???"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"
Source: Mh Mbati, James
Kwani unaijua vizuri historia ya mama yake na huyo mbunge dogo wa Morogoro?
Unauliza sangara ziwa victoria?Hivi kweli mna utaifa?
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Anasagaje lami? Mbatia ni mbunge wa kuchaguliwa, utamfananisha na hako kadada kanakobebwa bebwaNafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
We ni mmoja kati ya wale wanaofikiri kutumia maka-lioNina hakika kauli hii kaitoa akizani watanzania wanamuelewa kama mpigania wanyonge kumbe walishajua ni mpigania tumbo???? Iko wapi haki ya yy Mbatia kupewa mkopo usio na riba!! iko wapi haki ya yy kulipwa posho ya kukaa shs 220,000 ilihali anajua kuwa kima cha chini cha mshahara ni 170,000 na pamoja na kulipwa anatoka nje?? huku akijua mtumishi wa umma halipwi chochote asipoonekana kazini kwa siku 5 tu na huishia kufukuzwa kazi?? hivi leo ni huruma gani waliyonayo akina mbatia zidi ya wanyonge wao? hivi hii ndiyo dhana ya uwakilishi kama jukumu walilonalo mbele ya watanzania waliowachagua?? kuzila, kugoma kuingia bungeni???
Inakuuma nini?Mbona avatar na jina ni la kigomvi? Naomba ubadili.
Hii mizengwe ya hawa wazee itaisha lini? "mpambanaji hajisifu kwani kujisifu ni jukumu la wasiojulikana""Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"
Source: Mh Mbati, James
Ndo maana kakibeba chama chake kichwani peke yake !Mbatia kichwa sana.
Ni mwanasiasa wa kweli mno.
mh sijakuelewa, labda maoni yako Mbatia afanyeje?Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Ulichofanya hapo ni kuthibitisha kuwa anachosema ni kweli na unakubaliana naye kwamba pesa kwao siyo priority ndiyo maana wapo bungeni tangu kioindi hakuna posho hivyo kuwaondolea posho hivi sasa kwao siyo issue kabisa. Kingine utambue kuwa nafasi ni chache lakini waalikwa ni wengi, mbona Zungu aliutaka huo unaibu Spika akaukosa lakini Tulio akapelekwa toka Ikulu na kuukwaa. Siyo Zungu tu kuna akina Chenge na wengineo wengi ambao wapo bungeni kitambo tu.Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Raia wa serikali ya wanafunzi alikua Matiku Matare, jamaa kutoka Musoma, sijui yuko wapi siku hizi....walikuwepo kina Bazigiza, Ali Salehe, huyu mbunge wa CUF na wengineo machachari sana, walichachafya saana enzi zile VC akiwa Prof Mmari ambae alikua akikubalika sana na wanajumuiya wa chuoNi kweli. Sina taarifa sahihi but nadhani Mbatia 'alitimuliwa na Mwinyi' pale UDSM mwaka 91 baada ya kutokea mgomo wa wanafunzi, mbatia akiwa raisi wa serikali ya wanafunzi.
Mwanasiasa gani anaungwa mkono na wanasiasa wote?Aliyempeleka Tulia pale ni nani? Unadhani wabunge wa CCM wote wanamuunga mkono Tulia?
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!