Sometimes inabidi watuelewe tuWazee fix sana tushawastukia
KichekoU mean.......
[emoji125] [emoji125] [emoji125] mimi simoNa wakileta zao tunawaongeza dongo kisha tunawatoa nduki ili wakalaze vipipa(vitambi),vyao
Na sisi twende huko huko kwenye siasaRudi kijana wazee wapo Jukwaa la Polifix wanajadili Umeya wa Joto City....huku hawawezi kutucharaza fimbo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji102] [emoji102]
Mimi huwa naenda mara moja mojaKule ni km mazingaombwe(Polifix) tu...Tuwaachie wasomi
Kule utajifunza mengi sanaHata Mimi lkn sichangii...full vifimbo cheza !!!
Hahahaha safi sana kama unasoma habariNi naona kumejaa Democrazy & Polifix tu....Nasoma habari tu basi