Dondoo za Mapenzi

Kuna wakati mwenzi wako anakua anahitaji kutoa yaliyomo moyoni mwake tu....iwe ni hasira ama furaha bila kuingiliwa na ushabiki ama upinzani kwahiyo soma alama za nyakati.

Ungesoma hapo vizuri ukaelewa hapo nilipobold ungeelewa nnachomaanisha!!!


Hadi ulipoandika hapa ndio nimeelewa. Ni vigumu kuyaelewa yaliyo kichwani kwako isipokuwa utakapoyaandika au kusema. Asante.
 
Hadi ulipoandika hapa ndio nimeelewa. Ni vigumu kuyaelewa yaliyo kichwani kwako isipokuwa utakapoyaandika au kusema. Asante.
Ilikuwa hivyo tangu mwanzo...nimefanya kuhigh-light tu!Nwyz asante kwa kunielewa!
 
unavyotudanganya hivyoooo?au ndo uonavyo wewe...? lakini usije ukapata mke hakuheshimu ukaja leta malalamiko hapa mi ntakutimua halafu ntakukumbusha sentens yako...?

Nilham mapenzi hayana formula, meaning its how you drive and how you hold to that relationship it will determine the rise/fall of your relationship/marriage
 
Ulifundishwa/kunukuu kutoka wapi,itakuwa ni vitu walivyo expirience baadhi ya watu na si wote,,,,,so ukitembelea reli ya mwenzio unaweza kutokea kigoma watati unaenda mwanza
 
mapenzi hayana fomula dear
I never said it did!!Ukiangalia hivyo ni vitu vya kawaida sana na vingi vinapaswa kufuatwa hata kwa marafiki na ndugu zetu...kuwaheshimu..kuwasikiliza n.k!Nashangaa watu mnavyoruka utadhani kuna sehemu nimesema usipofuata haya hutakua na mahusiano.Nimejaribu kuweka wazi vitu VINAVYOWEZA KUSAIDIA kua na mahusiano mazuri yenye afya!Pigia mstari nilipoandika vinaweza kusaidia...hopefully tumeelewana!
 
its how you drive and how you hold to that relationship it will determine the rise/fall of your relationship/marriage
Kuna vitu ni wazi kwenye uhusiano wowote vitabomoa zaidi ya kujenga..dharau..ubinafsi n.k!Nwyz sikusema popote jamani kila mtu afuate haya...kwanza kuna watu hata wangelazimishwa wasingeweza!At the end of the day it all depends on what kinda person you are with...kuna watu wanafanyiwa mabaya ya kila aina na bado wanakuwepo!So usemi wako una ukwel
 
Back
Top Bottom