Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,591
- 17,561
Wanaume wa siku hizi bwanaaa.Hebu fafanua kidogo mkuu juu la hili watu waanze kupiga chafya kwa Sana.
Mkuu we ukiweza kupiga chafya kwa wingi piga tu.
Kiafya inasaidia kuondosha bacteria,virus na vumbi ndani ya pua.
Kwaiyo mkuu dondosha chafya walau kwa wiki mara mbili.
Kwa mazingira ya vumbi kama Dar mkuu we piga chafya kwa wingi tu wala usiogope.Mara mbili?? Mbona watu karibu kila siku tunapiga chafya?? Ukipishana na gari la taka, vikwapa daladalani, masokoni na uchafu, hapa Dar mazingira ya kumfanya mtu kupiga chafya ni mengi sana!!
Asante kwa muongozo.Mimi na shemeji yako tutakuwa tukidondosha chafya za kutosha ili kuondosha vidudu vya malaria sugu.Mkuu we ukiweza kupiga chafya kwa wingi piga tu.
Kiafya inasaidia kuondosha bacteria,virus na vumbi ndani ya pua.
Kwaiyo mkuu dondosha chafya walau kwa wiki mara mbili.
wewe acha kuongea vitu bila uhakika,unajua Kazi ya motor nerve system?autonomic nerve system?
No mtu akiwa amelala hawezi kupiga chafya kwa sababu motor neurone kutokuwa stimulated na hivyo reflex signal kutopelekwa kwenye ubongo.
Ingawa kiasi kikubwa cha external irritants kama vile ugoro unaweza mfanya mtu aliyelala kupiga chafya itakayopelekea kuamka na si kuendelea kulala.
Kupiga chafya husaidia kufanya mzunguko wa damu kuwa mzuri zaidi lakini zisiwe excessive kwani zikizidi sana napo huwa ni shida.
Kakulumuenyee.Wewe ni daktari?
Zikizidi haziwezi kukuacha salama,kuna njia unaweza kuzizuia zisiwe nyingi,unatumia kubana ulimi wako kwa nyuma,juu upande wa koo,ni ngumu kidogo ila inasaidia sana unaweza usipige chafya kabisa kama ilikuwa inakuja ikapotea au ukapiga moja au mbili...Shida yake nini mkuu. Kwamba unaweza ukafa?