Mkuu mbona umejijibu wewe mwenyewe? Ukishapata fahamu inakua hujalala.Namba moja siyo kweli, watu waliopoteza fahamu hupiga chafya wanapoanza kupata fahamu
Anaweza kupiga chafya lakini ukimuangalia utakuta bado hana fahamu mpaka baada ya Masaa kadhaaMkuu mbona umejijibu wewe mwenyewe? Ukishapata fahamu inakua hujalala.
Mkuu ni kweli huwezi piga chafya macho yakiwa wazi lazima yafumbe.iyo namba 5 siyo kweli.
Chafya husababishwa na foreign particles na irritants kama vile vumbi,pilipili na ugoro.Kwanini mtu unapopiga chafya nyingi mfululizo huanzwa kutokwa na mafua? kuna uhusiano gani kati ya chafya na Flu?
No mtu akiwa amelala hawezi kupiga chafya kwa sababu motor neurone kutokuwa stimulated na hivyo reflex signal kutopelekwa kwenye ubongo.Namba moja siyo kweli, watu waliopoteza fahamu hupiga chafya wanapoanza kupata fahamu
Kumbuka hata motor neurone zipo voluntary na involuntary kasome vizuri anatomy and physiologyNo mtu akiwa amelala hawezi kupiga chafya kwa sababu motor neurone kutokuwa stimulated na hivyo reflex signal kutopelekwa kwenye ubongo.
Ingawa kiasi kikubwa cha external irritants kama vile ugoro unaweza mfanya mtu aliyelala kupiga chafya itakayopelekea kuamka na si kuendelea kulala.
wewe acha kuongea vitu bila uhakika,unajua Kazi ya motor nerve system?autonomic nerve system?No mtu akiwa amelala hawezi kupiga chafya kwa sababu motor neurone kutokuwa stimulated na hivyo reflex signal kutopelekwa kwenye ubongo.
Ingawa kiasi kikubwa cha external irritants kama vile ugoro unaweza mfanya mtu aliyelala kupiga chafya itakayopelekea kuamka na si kuendelea kulala.
Yeah, i know that.Kumbuka hata motor neurone zipo voluntary na involuntary kasome vizuri anatomy and physiology
Mkuu ni kweli huwezi piga chafya macho yakiwa wazi lazima yafumbe.
Kugundua ni shida kwa sababu kitendo chenyewe cha kupiga chafya udumu kwa sekunde chache mno ambapo mpaka unamaliza na macho ufunguka hivyo unashindwa jua kama ulifumba.
Kwani tendo la chafya lina last kwa sekunde ngapi?.usinganganie taarifa za internet,so kila unachosoma kwenye internet ni sahii.
unaweza kupiga chafya bila kufumba macho,ila kwa baadhi ya watu zile chafya Kali unajikuta umefumba macho.