Donald Trump yuko sahihi

Donald Trump yuko sahihi

Daaa waga inaniuma sana .,watu wanaongea vitu vya maana halafu kijana na akili timamu ambao tunawaona taifa la kesho anakomenti ushabiki wa kichama hasa vijana wa ccm.Kwa mfano hii thread inahusiana vipi na mbowe kukamatwa????
Waga nawasiwasi sana kama vijana wa namna hii kama marinda yao yako kamili.Najua marinda yakisha tanduliwa huwezi kufikiria sawa sawa.Ndiyo maana komenti kama hizi tutaendelea kuziona.
ha ha ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Africa ni bara la giza...hata siku moja haliwezi kuwa la mwanga
Naomba nikuulize swali.......ikitokea ukoo wako wote hakuna hata aliyewahi kufika hata form six.......je ikatokea kwako wewe amejitokeza mtu yupo tayari kusimamia gharama za kukusomesha hadi chuo kikuu na kumaliza level zote......je utamkatalia kwasababu unaamini unatokea ukoo wa jamii ambaye imefeli kujielimisha au utathubutu......na je ni nini matarajio ya future yako kama utaamini jamii yako kimtazamo ilivyo na wewe ni upo kama wao na hautaweza badilika?!

Ukiweza jibu hilo swali basi itakuwa rahisi kuelewa ni kwanini kuna waafrika kama ww ambao wanawazua bila kutafakari wanatumia fikra za kupewa badala ya fikra mtambuka za kutafakari uhalisia. Hata wale wasiotujali wanataka tuwaze kama wewe hivyo hivyo.
 
Haya maneno yamenifanya nitafakari mustakabali wa Maisha yangu kwa ujumla kama muafrika.......
sahihi.......naomba uwe cheche ya kuwasha moto wa nyika tuing'aze afrika upya kwa sura ya heshima na si sura ya udhaifu.
 
Viongozi wetu huwa wakivaa suti halafu wanakwenda kwenye hafla kubwa huko nje huwa wanajiona ni binadamu kweli kweli.......kumbe taswira yao ni kama ile ambayo unaweza kuiona unapomwona nyani kavaa suti......ndicho wanachokiona .
 
WE SHOULD RECLAIM OUR RESPECT IN THE EYES OF THE WORLD.
 
Naomba nikuulize swali.......ikitokea ukoo wako wote hakuna hata aliyewahi kufika hata form six.......je ikatokea kwako wewe amejitokeza mtu yupo tayari kusimamia gharama za kukusomesha hadi chuo kikuu na kumaliza level zote......je utamkatalia kwasababu unaamini unatokea ukoo wa jamii ambaye imefeli kujielimisha au utathubutu......na je ni nini matarajio ya future yako kama utaamini jamii yako kimtazamo ilivyo na wewe ni upo kama wao na hautaweza badilika?!

Ukiweza jibu hilo swali basi itakuwa rahisi kuelewa ni kwanini kuna waafrika kama ww ambao wanawazua bila kutafakari wanatumia fikra za kupewa badala ya fikra mtambuka za kutafakari uhalisia. Hata wale wasiotujali wanataka tuwaze kama wewe hivyo hivyo.
ni nani wauibadilisha Afrika? jibu ni hakuna..kila kitu tunachotumia ni cha mzungu...hata leo wazungu wakigoma kununua madini yetu hatuna sehemu ya kuyapeleka....tukubali ukweli tu hatuwezi kuishi bila kumtegemea mzungu
 
sasa wewe ndio wale wadau waoabudu kufeli. Kwahiyo sisi bila wazungu hatuexist
 
Neno watu kama nyie ndio tunawahitaji ila mpo wachache humu JF, siku hizi JF wamejaa wanasiasa wanashabikia vitu vya kipumbavu, vichwa vyao wamewapa wanasiasa, kila wakisemacho viongozi wa chama kwao ndio. Turudi katika mada husika, tatizo watanzania si wazalendo, hawajisikii fahari kulitumikia taifa, wavivu wezi wa kalam (mafisadi) si vijana wala wazee, hawajitumi wao kila siku kulalamika, huko uzaramuni Chole maeneo kibao lkn vijana hawataki kulima wanalima wazee, mimi baba yangu mdogo Itete kachiwa mashamba kibao, kayauza karibia yote, ela t anaifanyia umalaya, sasa hivi mashamba anakodi na ukichunguza wazee ndio wanalima vijana wamekaa kama goalkeeper nyumbani. Tunatakiwa tujitambue sisi wenyewe kila mtu kwa nafasi yake, kipawa chake ajitume zaidi tuache kulalamika na kukaa ktk vijiwe kulalamika, ili tuijenge nchi.
 
Back
Top Bottom