Donald Trump to cancel Air Force One order from Boeing

Donald Trump to cancel Air Force One order from Boeing

Trump Kusitisha Uagizwaji wa Ndege Mpya za Air Force One

a-deal-for-donald-trump-b.jpg

Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump amesema anataka kufuta ombi la ununuzi wa ndege mpya za Air Force One ambazo hutumiwa na marais wa Marekani.

Wiki sita kabla ya kuchaguliwa, aliandika kwenye akaunti yake ya Twitter kuwa: “Boeing wanaunda ndege mpya aina ya 747 Air Force One za kutumiwa na marais siku zijazo, lakini gharama yake imezidi, zaidi ya $4 billion. Futa oda hiyo!”

Boeing.jpg

Serikali ya Marekani iliingia kwenye mkataba na kampuni ya Boeing ili kutengenezwa kwa ndege hizo mbili au zaidi za kuwabeba marais.

Ndege hizo zilitarajiwa kukamilika na kuanza kutumiwa mwaka 2024.

Hisa za kampuni ya ndege ya Boeing zilishuka kwa zaidi ya 1% baada ya ujumbe huo wa Trumpp kwenye Twitter, ingawa zilijikwamua baadaye.

Trump hatarajiwi kutumia ndege hizo mpya, iwapo hatashinda uchaguzi wa muhula wa pili wa mwaka 2020. chanzo.GBP
 
ndio kubaNa matumizi kwenyewe au?
 
Gharama ya ndege 1 ni sawa na utajiri wa Trump dah
Mr Trump kaona wivu gharama ya ndege atakayo ipanda ni sawasawa na pesa na Utajiri wake kumbe sio kitu chochote Utajiri wa Mr Trump sawa sawa na Ndege anayoipanda Mr Obama Rais wa Amerika.😀😀😀
 
Tambueni kuwa Trump ndye tajiri duniani mwenye the best private jet.
 
America will never be great again...the sun is going to Chiolu
 
Leo nimepata majibu ya kwanini una matatizo ya kisaikolojia.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Wewe pia utakuwa na matatizo kama unashindwa kuny,amua point yangu ya msingi katika maelezo yangu.Mimi niliandika hivyo kwa kulenga kilichokuwa kinaendelea marekani katika siasa na Maamuzi ya DT kwa sasa na jinsi vyombo vya habari kama CNN vilivyokuwa vinamjadili in negative way kila kitu.Nafikiri umeandika hivyo kwa kuuunganisha na comments zangu uko nyuma nlizokuwa naku challenge kuhusu mambo flani uliyokuwa unaandika kuusu marekani...
BTW,sikuwahi kuwa na waswasi na DT toka alipoanza hadi sasa.
Tatizo lako kubwa mkuu,Unapenda sana kuwa dominant kwenye mada zako,means hupend challenge.
Iga mfano wa kina 'THE BOLD',mada zake safi,anakubali challenge na kujibu hoja kistaarabu.Sio wewe unajibu na vijembe juu..Au hilo jina 'Lumumba'Limekufanya uwe na inferiority complex.
Punguza Panic za kijinga.
 
😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱
Cheki mapovu hayo, kudadekiiii.
Wewe dogo bwana unazinguaga hadi basi.

Hivi wewe huwa hujioni ulivyokuwa na majibu ya kikida?
Teh teh teh teh teh teh teh teh.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Aisee wafuatiriaji wa mambo nisaidieni.
*Nikweri Trump atafuta mikataba ya marekani na washirika wake ulaya ya kibiashara?
*Ataacha kuilinda ulaya (NATO)?
*Nikweri atajenga ukuta kati ya marekani na Mexico?
*Nikweri ataacha kuwasaport vibalaka wa marekani kule uarubuni (saudia, Qatar,nk).
*Nikweri ataiondolea ulinzi Israel inayotamaniwa na maadui zake itoweke katika uso wa ulimwengu huu?
Au tuseme ni vile alijua wamarekani wanataka nini na yeye akaviadress akashinda ila kuvitimiza hapo ndo napata kizungumukuti...
Any way mimi ngoja nimpe mda kama wa miaka miwili tu akitimiza moja kati ya hivyo......
hakuna sehemu ambapo, alisema ataiondolea israel ulinzi, kumbuka Nyetanyau ndiyo alikuwa mtu wa kwanza kumsupport truimp hata kabla jina lake kupitishwa ndani ya chama chake
 
😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱
Cheki mapovu hayo, kudadekiiii.
Wewe dogo bwana unazinguaga hadi basi.

Hivi wewe huwa hujioni ulivyokuwa na majibu ya kikida?
Teh teh teh teh teh teh teh teh.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Siku ukianza kuwa positive kwenye comment zako hata kwa 50% hasa kuusu U.S affairs,ntaku appriciate sana.
Ila kwa mtazamo wako na akili yako U.S ni mbaya 100% na Russia ni nzuri 100%...Bado unataka tofanane mitazamo asee Lumumba?...hahahahaha
BTW,relux nigga.
 
Tafadhali usiniwekee maneno yako kinywani mwangu,
U.S.A mimi nawakubali sana, wana mchango mkubwa sana hapa duniani na hili halina ubishi.
Tatizo lenu kubwa ni kwamba meamini kila kinachofanywa na U.S.A ni kitakatifu na chema,
Kibaya zaidi ni pale ambapo mnatumia Main Stream media bila kufanya tafiti zenu binafsi,
Watu ambao wanaongea bila kufanya utafiti kamwe hatuwezi kula nao sahani moja,
Lakini leo unijie mimi na utafiti wa kitaalamu kamwe siwezi kukubishia japo hujawahi kuniletea zaidi ya ushabiki na matusi.

Pili, Urusi nalo ni taifa kubwa hapa duniani.
Mchango wake ni mkubwa sana kwa nchi za Afrika na Asia.
Lakini na lenyewe pia lina mapungufu yake mengi sana tu ya kimfumo.
Ambacho ninyi humuelewi na hamtaki kukubali ni kwamba Urusi ni taifa lenye ushawishi mkubwa sana hapa duniani.
Na ili Marekani afanye mambo yake vizuri ni lazima aangalie maslahi ya mataifa makubwa kama Urusi na China kama anavyofanya kwa mataifa ya Ulaya.

Hapo kuna ugumu gani kuelewa ninachokisema?
Au ni wapi nimesema U.S.A ni taifa baya kwa asilimia 100%?
Jifunze kuelewa nini watu wanasema naamini tutakuwa na mijadali inayojenga wasomaji zaidi ya kubomoa.
 
Back
Top Bottom