Donald Trump: Marekani tunautambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel

Nimesema every born again Christian is a Jew in spirit,wewe sijui ulichoandika umetoa wapi,unakaririsha kile imam amekulisha na unatoka nacho bila kushirikisha ubongo?
christian na jew ni dini mbili tofauti..........christian ni wanaomwamini kristo na jew ni wapinga kristo
 
Haujui kitu,umekua brainwashed msikitini,mbona hamwendi kuhiji Yerusalem mnaenda Macca,hakuna ushahidi wowote kwamba mtume alikaa Yerusalem,ni janja janja ya hii dini kuleta fujo za kijinga
sasa wewe unabishana na bwana wako Trump?...Trump amesema Jerusalem ni mahali patakatifu kwa waislam we mmatumbi wa masasi huko unampinga waislam nao wanaenda Jerusalem kuhiji kila mwaka Jerusalem kuna msikiti mtakatifu al aqsa hata Yesu alisali hapo.
 
nakushangaa kuona una mahaba na taifa la israel ili hali hakuna waisrael wenye mahaba na tanzania. soma biblia taratibu ndo utajua lengo la Mungu kubadili mambo aliyowafundisha waisrael kimwili yawe ya kiroho ili hukumu ya Bwana yesu ipate nafasi
Toa upuuzi wako
 
sasa wewe unabishana na bwana wako Trump?...Trump amesema Jerusalem ni mahali patakatifu kwa waislam we mmatumbi wa masasi huko unampinga waislam nao wanaenda Jerusalem kuhiji kila mwaka Jerusalem kuna msikiti mtakatifu al aqsa hata Yesu alisali hapo.
Yesu asali alqasa hapo mnapogongesa vicha chini hadi mnakua wehu usilete uongo wa msikitini,mudy masiha wako aliyeleta uislam alizaliwa miaka karibu 600 baada ya Yesu kuondoka duniani,aje kusali kusali msikitini alqasa,wewe mzima kweli???
 
Hao 27% ni waarabu waislamu na 3% ni waarabu wakristo,hawa waarabu wakristo wapo pamoja na waarabu waislamu,kuwapinga wayahud,hata mara nyingi,wanaungana na waislamu,kutetea ardhi yao.
Hoja sio utumbo blah blah uliondika, hoja ni jumlisha hizo asilimia kama zitakuja jumla 100.
 
mafarisayo wa dunia ya sasa wanashindwa kuelwa hii inayoitwa israel si ile inayozungumziwa katika vitabu vitakatifu,hivi jamani nani asiyejua kuwa kama isingekuwa ubaguzi wa rangi,hii israel ya sasa ingekuwa hapo UGANDA?je huo mji wa Jerusalem ungekuwa bado upo hapo Uganda tu?,huu ni uzandiki na kufuata upepo wa wakaristo engi wasioelewa neno la mungu,Israel ya kweli ni wewe mwenyewe,na hii kitu inakuwa ngumu sana kueleweka kwa baadhi ya watu ,lakini siku wakija kulielewa hili atakuwa washachelewa.

Nani asiyejua kuwa israel hii inayopigiwa upatu,ambayo imejifunika na hadith zao za kuchonga na kuharibu kitau kitakatifu biblia ili wapate uhalali na hurua ya ulimwengu huu?

narudia tena,israel ya kweli ni wewe mwenyewe na taifa hili linajumla ya watu 144,000 wale watao urithi ufalme wa mbinguni,sasa ujitafakari kama na wewe pia upo katika kundi hili au lah

Hao ni wahayudi waliokombolewa baada ya Hitler kushindwa vita ilibidi wahamishwe ulaya maana wanabaguliwa ulaya nzima sio na ma Nazi tu ila ulaya nzima kumbuka wahayudi ni Semitic people kama waarabu na sio Caucasians kama wazungu
 
Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini ameubeza uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutangaza mji wa Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel na kusema kuwa, hakuna nchi inayojulikana kwa jina la Israel hata Jerusalem uwe mji mkuu wake.
Kiongozi wa Korea Kaskazini amehoji kwa kejeli akisema: Hivi kuna nchi inayojulikana kwa jina la Israel, hata Jerusalem itangazwe kuwa ndio mji mkuu wa nchi hiyo?
Kiongozi wa Korea Kaskazini ameupinga vikali uamuzi huo wa Donald Trump na kuutaja kuwa haukubaliki. Kim Jong-un amesisitiza kama ninavyomnukuu: Hakuna nchi inayojulikana kwa jina la Israel duniani hata Jerusalem ufanywe kuwa mji mkuu wa nchi hiyo.
Wakati huo huo, msemaji wa serikali ya Korea Kaskazini amesisitiza kuwa, tangu mwaka 1988, Pyongyang imekuwa ikiitambua serikali ya Palestina kuwa ndio yenye mamlaka na ardhi zake zote.
Wakati huo huo, viongozi mbalimbali ulimwenguni, jumuiya na taasisi za kieneo na kimataifa zimeendelea kulaani kwa nguvu zao zote uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutangaza mji wa Jerusalem kuwa mji mkuu wa utawala wa Israel.
Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amelaani hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kutambua rasmi mji wa Jerusalem kuwa mji mkuu wa utawala wa Israel na kuongeza kuwa, hatua hiyo ya upande mmoja bila shaka itavuruga utulivu wa ulimwengu na juhudi zote zilizofanywa kwa ajili ya kutatua mzozo wa Palestina.

HAPO SASA NDIO SINEMA LINAANZA,,KAMA HUYO TRUPH ALITAKA KULETA KA UJANJANJA WA KUUTAMBULISHA MJI MKUU WA JERUSALEM KWA MAYAHUDI ILI DUNIA IMSAPOTI NA KIPONDO CHA KOREA KITOWEKE,sasa imekula kwake
Alitaka kuleta UJANJA WA MKASI KUKATA MBELE HUKU VIDOLE VIMEINGIA NYUMA
Safari hii TRUMPH hatoboi
MARK MY WORDS
 
Hii ni Injili au Torati?
na muulze MKUU km maandiko hayo ni yenye kutimia kat ya vitabu hvyo viwili iweje waaslam wawepo hapo kwa mda mrefu sasa? laana ya kubadr maandko matakatfu kwa vitabu vya torati na injiri kilichopelekea mayahud wasimtambue mtume Issa na Muhammad, na wakiristo wasimtambue mtume Muhammad na njama ya wawl hao kutaka kumuua mtume Issa ndo viliwasambaratisha hapo
laki si pesa. umeona mambo hayo? "Magovi" eti nayo yanataka sehemu katika umiliki wa Mji wa Bwana! Maajabu wallah! Eti najisi anataka urithi katika Nyumba ya Yakobo! Duh!
 
Wayahudi waliomuua Yesu walishakufa siku nyingi na kama ilivyoandikwa kuwa roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa!

Ezekieli 18
20 Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.
kama andiko lako liko sahihi why had I Leo mayahud hawaamin uwepo wa yesu? na hal unadai mayahud hawa sio wale saloon at aka kumuua yesu kristo! yaangalie vizur maandiko yenu yanawachanganya na yanawapotezeen sifa juu ya mile munachokiamn
Hii vita ya Jerusalemu ni vita iliyobadilishwa kutoka maslahi ya kiimani hadi maslahi ya kifedha/mapato ndio maana kuna mvutano usioisha.
 
Toa upuuzi wako

ni mpumbavu pekee anayekimbilia matusi bila kujikita kwenye hoja, kama mungu wako hayuko biased kwa nini hujawashabikia waarabu? au warabu si product za mungu? toa kilema cha udini ndo usome biblia bila ivo utajua historia iliyomo tu bila kujua kila kilichomo kwenye biblia ni practicable
 
ni mpumbavu pekee anayekimbilia matusi bila kujikita kwenye hoja, kama mungu wako hayuko biased kwa nini hujawashabikia waarabu? au warabu si product za mungu? toa kilema cha udini ndo usome biblia bila ivo utajua historia iliyomo tu bila kujua kila kilichomo kwenye biblia ni applicable
Tatizo nyie CCM mnaleta siasa hata kwenye mambo ya msingi.
 
hii ndiyo Jerusalem born again Christian fight to be there

ufunuo3:12
Yeye ashindaye, nitamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu, wala hatatoka humo tena kabisa, nami nitaandika juu yake jina la Mungu wangu, na jina la mji wa Mungu wangu, huo Yerusalemu mpya, ushukao kutoka mbinguni kwa Mungu wangu, na jina langu mwenyewe, lile jipya.

ufunuo21:2
Nami nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.

galatia4:26
Bali Yerusalemu wa juu ni mwungwana, naye ndiye mama yetu sisi.

ebrania12:22
Bali ninyi mmeufikilia mlima Sayuni, na mji wa Mungu aliye hai, Yerusalemu wa mbinguni, na majeshi ya malaika elfu nyingi,
 
Kil mtengenezaj bc huhitaj faid juu ya kile akitengenezach so kwa upnd mwngin tufikir kip analenga mmarekan mpk kufany hiv na c kufurah ama kucoment tuu

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Si hapo anatetewa,na wewe pia wamtetea,ungekaa kimya akaja mwenyewe huyo mungu wako akaja akajibu hapa jf,mbona wamjibia wewe.Hapa umeshamtetea.
namaanisha hatumtetei kama wengine wanavyofanya. hatumpiganii, hatujitoi hadi muhanga kwa ajili ya kumpigania etc....i hope umenielewa.
 
Back
Top Bottom