Donald Trump kama kinyonga amechange Ahadi zake

Donald Trump kama kinyonga amechange Ahadi zake

Ahadi za kisiasa ni kitu kingine na Uraisi wa Marekani ni kitu kingine. Donald amerealize kwamba responsibility aliyoitaka ni kubwa mno.. KWa sasa kishaanza kuwa briefed na anaanza kujua mambo mengi sana ambayo kwenye maisha yake hakuwahi kuyajua..😀😀😀. Kishaifahamu system tayari ipoje na inafanyeje kazi, hapo lazima arudi atoke kwenye ile dunia yake ya fantasy ya ignorant Americans arudi kwenye reality kama anataka amalize kipindi chake salama..American interests zina supersede any political interests..

Na hiyo ndiyo faida ya kuwa na mfumo mzuri uliosimikwa kwenye katiba na taasisi zilizo imara na zinazofanyakazi kwa kufuata sheria, taratibu pamoja na kuzingatia maslahi ya nchi na siyo kikundi cha watu au mtu mmoja mmoja. Hili nakumbuka Rais Obama aliwahi kulisema wakati anahutubia marais wa Afrika pale Addis Ababa, kwamba Afrika haihitaji strong people bali inahitaji strong institutions. Maana hata aje nani, mfumo utamwongoza na si vinginevyo.
 
Presidential contestants wengi huongea mengi kwa maono yao na nia zao binafsi kabla ya kujua ofisi ya rais inafanyaje kazi. Ukishachukua kiti cha urais na wakakubrief na classified files kufunguliwa mbele yako, wengi hubadilisha mawazo au kuona ugumu wa kutimiza yale mengi ambayo waliwaahidi wananchi.
So kwa Trump na briefing ya white house kwa sera za marekani ndani ya nchi na sera za marekani za kimataifa ishu ya kujitoa NATO ni ngumu, ishu ya kujenga ukuta mpakani pia haitekelezeki.
 
upload_2016-11-22_20-5-51.jpeg

Was it POLITICAL CORRECTNESS or POLITICAL PRECISION?
Now, which way do we go?
 
Hiyo Clip aliitizama na akapandwa na hasira sana akasema this is not funny at all... watu washaanza kumjadili kuwa Anaingilia uhuru wa kujieleza...

Follow
Donald J. Trump ✔ @realDonaldTrump

I watched parts of @nbcsnl Saturday Night Live last night. It is a totally one-sided, biased show - nothing funny at all. Equal time for us?

4:26 PM - 20 Nov 2016
  1. Jeffrey Guterman ‏@JeffreyGuterman Nov 20
    @realDonaldTrump I thought #SNL was funny, especially line about you receiving a nice tweet from David Duke.

    Watch Donald Trump Prepares Cold Open from Saturday Night Live on NBC.com
    0 replies 149 retweets 1,422 likes








  2. View other replies

  3. ThatNASTY1 ‏@PolitiSass Nov 20
    @JeffreyGuterman @realDonaldTrump @nbc I especially loved "Kellyanne" in this skit. "Something on your shoulder?" "Yes...all of this."
    1f604.png
    1f604.png


    0 replies 16 retweets 494 likes







 
Ameshaapishwa?

Uchaguzi bado ataapishwaje kabla ya Uchaguzi?

Electorate College inakutana Dec 19, 2016 kuchagua Rais. Tarehe 8 Nov ilikuwa kuchagua Electorate wa Majimbo na Raia kupiga kura ya a maoni tu!

Japo Kiutamaduni Tayari Trump ni Rais Mteule by kisheria na kanuni bado hajachaguliwa
 
Urais ni taasisi na kuna vitu flani ukishaingia ndani tu, unajikuta umebanwa somehow. Si kama huku kwenu ambapo kuna sijui muhimili (huu wa nne ambao ni mtu binafsi) gani umechimbika zaidi ya mingine.
 
Wanasiasa sio wa kuaminika kabisa Trust me.
Hakuna cha Ukuta wa Mpakani mwa Mexico,Hakuna Kumpeleka Jela Hillary Clinton,Hakuna kuondoa Obama Care, Haiwezekani kufukuza wahamiaji haramu Mwisho hawajui Isis na Majeshi hawezi Ondosha Afghanstan wala Popote Duniani walipo Wanajeshi wake Muhahahahaha

Lazima abadilike kwa sababu "Campaigning is different from Governing"; ma men! Kwenye kampeni unaweza ropoka lolote, unakuwa MC, ukikalia kiti unaanza utetezi kwamba "sitaki kufukua makaburi"! Unapokabiliana na hali halisi unagundua kwamba ile kazi sio lelemama!
 
Lazima abadilike kwa sababu "Campaigning is different from Governing"; ma men! Kwenye kampeni unaweza ropoka lolote, unakuwa MC, ukikalia kiti unaanza utetezi kwamba "sitaki kufukua makaburi"! Unapokabiliana na hali halisi unagundua kwamba ile kazi sio lelemama!
Vipi kuhusu zile Milion Hamsini kwa kila Kijiji Mkuu... Hivi Dar Inavijiji kweli maana hawatopata...
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Vipi kuhusu zile Milion Hamsini kwa kila Kijiji Mkuu... Hivi Dar Inavijiji kweli maana hawatopata...


Ehe, milioni hamsini ni mfano hai wa tofauti ya kipindi cha kampeni na kuingia madarakani, usingizi na kifo!
 
Mwanasiasa cha kumuamini ni salamu yake tu maana hata majina tu huwa wanadanganya.
 
Back
Top Bottom