Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Sijaelewa.
Khantwe wacha bana! Watoto wanacheza na baba yao.Sehemu ya mchezo ni kuruka toka juu ya sofa na kutua kwenye mwili wa baba, lakini hiyo sehemu mtoto anatua ni nyeti sana kiasi baba anaumia mno lakini anajikaza tu!Sijaelewa.
Na mzee anajikaza kwelikweli kana kwamba hakuna kibaya kilichotokea!Dar! Mtoto amepiga magogoni.
Khantwe wacha bana! Watoto wanacheza na baba yao.Sehemu ya mchezo ni kuruka toka juu ya sofa na kutua kwenye mwili wa baba, lakini hiyo sehemu mtoto anatua ni nyeti sana kiasi baba anaumia mno lakini anajikaza tu!