Don Shkuba Yupo Huru

Yapo mengi makosa ni wewe tu chagua bunduki,kubaka nk
 

Tafuta hyo series mkuu Kuna uhalifu wa kijelajela unaweza pata ujuzi kidogo😁
Kuna mabalaa sana humo
 
Hawa ni wa kupiga risasi, oneni walichomfanya Chidbenz
 
Wenzetu Kesi ya watuhumiwa 11 inasikilizwa siku mbili tu na kutia watu Hatiani.

Mahakama za kina Jaji Ibrahimu wangesikikiliza kwa miaka 6.

Uvivu ni adui wa maendeleo.
 
dah kwanza kumfikia huyo tembo atakuma amekufa au? Nieleweke kwamba nataka mishe ambazo utaingiza kwanza pesa ndipo ufungwe yaan iwe ajali kazin
Ndio kama hivyo meno ya tembo ni pesa ni wewe tu kuzama pori kutandika risasi na kufanya yako
 
Kwani wanaouza hamuwajui,mbona mbinu unazotumia ni za kizaman sana
siwajui kwan hata bangi ni dawa ya kulevya ili nianze kulima na kuuza mana roba ni m4 si pesa haba vuta picha una lima heka tatu unapanda unapata robo 35 piga kwa 35 mara milion 4 ngoja nizame ndich najua nitashikwa awamu ya tatu ya uzalishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…