Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Don Kama Don wasikuletee mchezo hao
URITHI tayari unasimamiwa na sheria ya mirathi ambapo utaratibu unaanzia kwenye kikao cha wanandugu na mirathi ama vinginevyo andika urithi unaotambulika na sheria ya mirathi
Next of kin ni kwa ajili tu ya kutoa taarifa na si kukabithi urithi
Kwenye maswala ya urithi na mirathi, Africa tunajifanyaga vichwa ngumu sana. Kuna dingi alifariki na kuacha maandishi ya mgawanyo wa mali zake. Ila kuna ndugu mmoja anakwambia haitambui ile barua, .Ndomana kna mirathi, lkn bado kwa Tanzania kna watu huwa bado wanapigaga tiktaka
Ova