Don Mangi is travelling to Moshi.

Hahahahaha hivi mgeni anakuja na mahela eeh?
Fang amesema helicopter ataacha ila mgeni atalipia per mzunguko!

Ntalipia. . .but helkopta yenyewe sijaiona bado. . .nina hela nyie mpaka ninaumwa. . .
 
Last edited by a moderator:
Na kuungua yalishaungua siku nyingi,leo day 2 ntakua maeneo ya kwa kipanga nachoma mguu wa mbuzi,

Mbwembwe zote hizo kumbe mguu wa mbuzi tu? Mambo ya kuhesabiana vinyango nani anataka?
 
Mbwembwe zote hizo kumbe mguu wa mbuzi tu? Mambo ya kuhesabiana vinyango nani anataka?

Chezea mimi? Kwa hasiranlionayo nimeamua kuchoma mbuzi mzima. . .
 
Chezea mimi? Kwa hasiranlionayo nimeamua kuchoma mbuzi mzima. . .

Hahahahaha. . .baada ya kukurushia dongo ndio umekung'uta mifuko yote? Angalia usije ukakosa nauli ya kurudi mjini aisee.
 
Hahahahaha. . .baada ya kukurushia dongo ndio umekung'uta mifuko yote? Angalia usije ukakosa nauli ya kurudi mjini aisee.

Wewewe! I got dirty sexy money!. . .kesho nnachoma ndafu ya ng'ombe uwanja wa mashujaa. . .free drinks an evryone invited.
 
Wewewe! I got dirty sexy money!. . .kesho nnachoma ndafu ya ng'ombe uwanja wa mashujaa. . .free drinks an evryone invited.

Duh!!! Mkuu Don Mangi, hapo uwanja wa mashujaa kesho lazima nizuke kula nyama.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…