Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,042 Reaction score 126,057 Apr 18, 2019 #21 Nina imani ushakuwa mwenyeji sasa Mtani. Chocho zote ushazijua. ππ
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,591 Apr 18, 2019 Thread starter #22 Shadeeya said: Nina imani ushakuwa mwenyeji sasa Mtani. Chocho zote ushazijua. ππ Click to expand... Sana Mtani.
Shadeeya said: Nina imani ushakuwa mwenyeji sasa Mtani. Chocho zote ushazijua. ππ Click to expand... Sana Mtani.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,042 Reaction score 126,057 Apr 18, 2019 #23 Don Clericuzio said: Sana Mtani. Click to expand... Haya bana Mtani.
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,591 Apr 18, 2019 Thread starter #24 Shadeeya said: Haya bana Mtani. Click to expand... Nasikia jana mlipigwa Mtani!
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,042 Reaction score 126,057 Apr 18, 2019 #25 Don Clericuzio said: Nasikia jana mlipigwa Mtani! Click to expand... Acha tu Mtani. Nkajua ntafuta machungu kwa Serengeti Boys kule nako nikaambulia machungu. π
Don Clericuzio said: Nasikia jana mlipigwa Mtani! Click to expand... Acha tu Mtani. Nkajua ntafuta machungu kwa Serengeti Boys kule nako nikaambulia machungu. π
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,591 Apr 18, 2019 Thread starter #26 Shadeeya said: Acha tu Mtani. Nkajua ntafuta machungu kwa Serengeti Boys kule nako nikaambulia machungu. π Click to expand... Serengeti Boys wametuangusha, ahadi zote walizopewa zimeyeyuka. Ila kama taifa inabidi tujitafakari, tunaongea sana bila mipango.
Shadeeya said: Acha tu Mtani. Nkajua ntafuta machungu kwa Serengeti Boys kule nako nikaambulia machungu. π Click to expand... Serengeti Boys wametuangusha, ahadi zote walizopewa zimeyeyuka. Ila kama taifa inabidi tujitafakari, tunaongea sana bila mipango.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,042 Reaction score 126,057 Apr 18, 2019 #27 Don Clericuzio said: Serengeti Boys wametuangusha, ahadi zote walizopewa zimeyeyuka. Ila kama taifa inabidi tujitafakari, tunaongea sana bila mipango. Click to expand... Yah! Ni kweli kabisa Mtani inabidi tujitafakari mno sababu kama wale watoto kila kukicha wanazidi kuwa wabovu.
Don Clericuzio said: Serengeti Boys wametuangusha, ahadi zote walizopewa zimeyeyuka. Ila kama taifa inabidi tujitafakari, tunaongea sana bila mipango. Click to expand... Yah! Ni kweli kabisa Mtani inabidi tujitafakari mno sababu kama wale watoto kila kukicha wanazidi kuwa wabovu.
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,591 Apr 18, 2019 Thread starter #28 Shadeeya said: Yah! Ni kweli kabisa Mtani inabidi tujitafakari mno sababu kama wale watoto kila kukicha wanazidi kuwa wabovu. Click to expand... Mashindano yakiisha na wao ndo wameisha. Hatuna academy za kuwapeleka ili waendelee hata mashindano mengine ya under 19 utakuta tunaanza kutafuta upya tena.
Shadeeya said: Yah! Ni kweli kabisa Mtani inabidi tujitafakari mno sababu kama wale watoto kila kukicha wanazidi kuwa wabovu. Click to expand... Mashindano yakiisha na wao ndo wameisha. Hatuna academy za kuwapeleka ili waendelee hata mashindano mengine ya under 19 utakuta tunaanza kutafuta upya tena.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,042 Reaction score 126,057 Apr 18, 2019 #29 Don Clericuzio said: Mashindano yakiisha na wao ndo wameisha. Hatuna academy za kuwapeleka ili waendelee hata mashindano mengine ya under 19 utakuta tunaanza kutafuta upya tena. Click to expand... Kazi ipo Mtani. Tusubiri miujiza huenda tukapenya semi final.
Don Clericuzio said: Mashindano yakiisha na wao ndo wameisha. Hatuna academy za kuwapeleka ili waendelee hata mashindano mengine ya under 19 utakuta tunaanza kutafuta upya tena. Click to expand... Kazi ipo Mtani. Tusubiri miujiza huenda tukapenya semi final.