Domo Zege akitongoza

namkumbuka King'asti alivyodata na maneno ya kusomewa

c.c BAK
 
Last edited by a moderator:
Dah! afadhali ulivyonikumbusha maana nimesahau kabisa kutongoza kwa kiswahili.
Nalog off
 
Hahahaaa....... Ingekuwa mie ndio huyo dada ningemzaba kibao..!
 
Hahahahahhaaha maskini weeee.afadhali hata angekariri usiku mzima.. kuliko kwenda na kijikaratasi lol.
 
Hahahaaa....... Ingekuwa mie ndio huyo dada ningemzaba kibao..!

Unafkiri pia ana mikono zege? Subutuuuu domo zege kumbee akishushia kichapo kuliko cha baunsa lol..
 
Hahahahahhaaha maskini weeee.afadhali hata angekariri usiku mzima.. kuliko kwenda na kijikaratasi lol.
ukikariri unaweza ukasahau ukishaanza kutishwa na ile misemo,nitakusemea kwa baba kumbe wewe ndio mtindo wako eh! kwahiyo yuko sahihi sana kuichukua ile mistari.kkkkkkkk
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…