Domo punguza stress..

Domo punguza stress..

Dogo Domo una stress trust me, na nina wasiwasi unapuliza sasa hivi mboga.

Ngoma tatu lakini hakuna jipya lenye kuleta muonekano mpya unafeli brother.

Mapenz yana kusumbua, tafadhali usichanganye na kazi dogo. Miko kumi ya Rap GK ft AY

Time hii ongeza meneger mmoja hata babu yako wa Kigoma ili uchanganye ladha fulani. Dunia inataka vitu fulani vitu vya asili mix .

Nilimwambia mke wangu siku moja ule wimbo wako je utanipenda? ndio kaburi lako la mziki usipo kuwa makini.

Nilimwambia kwasababu, kipindi wimbo wako wa kwanza pia nilimwambia utafika mbali na kweli umefika.

Hapo ulipo unaweza kufanya makubwa bila kushirikisha msanii wa Ulaya, tuliza akili lasivyo utapotea bro.

Kuwa makini sana, am your brother na Nakupenda sana, japo nakula sana misumari moto.
Diamond hajawahi kutoa wimbo ambao mtu anayefuatilia muziki na kuelewa melody, harmony, arrangement akaukubali.

Anapata marks za effort ya kubana pua na kupangilia mashairi nusu.

Mpaka leo sijaelewa mass appeal yake ni nini zaidi ya kujua kujipiga promo tu.

Siku zote nimekuwa nikimkubali Ali Kiba kuliko Diamond.

Diamond hajawahi kuachia ngoma kama Aje au School Baby

Hebu sikiliza ngoma zinavyopigwa, gita linavyolia, na Kiba anavyonung'unika (hata kama hana deep lyrics, Kiba anafunika)

Diamond hajawahi kutoa wimbo uliofikia hizi mbili. Basi tu Kiba hajui promo.

Ali Kiba "School Baby"

Ali Kiba ft M.I "Aje"
 
wanaume tumebaki wachache sana....
 
Ni wimbo mmoja tu ninaweza kusema Kiba aliimba kweli "sindelela" .
Lkn mimi mpk kesho bado nikisikiliza Q-chila, Marlow, MB dog wa enzi zile bado sion km Mondi au Kiba anaweza fikia levo zile.

Nyimbo inaimbwa unani feel yan
 
Huyu dogo anaponzwa na mashauzi.
Wabongo hatutakagi mashauzi.
Leta mashauzi uone wanavyokunyosha.
Hahaaaaaaa
Amwangalie kiba jinsi heshima yake ilivyo kwa mashabiki wake.
Hakika domo ndio mda wake wa kuporomoka

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Mwenzenu anauza karanga nyie mnabishana JF. Endeleeni kupiga kelele mnazidi kumuongezea attention.

Ni msiba atakaeguswa atoe rambirambi(povu)
 
Sent from Iphone 6 plus

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
 
wabongo bana kwahiyo utachekelea sana Dia akipotea kimziki? na utafaidika na nn acha wivu bhana

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
jamani mtaani kwetu kule kunduchi kuna waha weengi yaani inafaa na ww uwe mlozi ili uweze kufanya lolote

kuna waha
wasambaa
wamakonde
IMG-20150604-WA0001.jpg

Kwa Muha? Asikudanganye mtu....wale kwao kila kitu ni matunguli hata kunywa chai lazima waanze kuliomba tunguli kwanza. Watu wa Kigoma, Mbeya, Rukwa, Tabora, ni habari ingine kabisa na ndiyo maana mikoa yao haina kitu.[/QUOT
 
Nyie endeleeni kukosoa mm naenjoy sana. Yaani hapa nipo kazini lakini huwa nikiwa free ofisini napata flevor za Diamond. Mnatoa kasoro za kishabiki tu. Diamond anajua sana . We mtoa mada leta nyimbo yako tufaidi au unakesha kulalamika kama kakuambia usikize na upende nyimbo zake.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
😀😀😀😀
 
0b2565f993ce8421397b35ceba08c87b.jpg
82b40539857d0eebf9682a87bfdff253.jpg
b35f123e2010d1783e779d8de8225a2d.jpg
wadau hii misalaba inayojulikana kama ankh kama waliovaa ao wasanii sio misalaba ya kikristo...So basically nlikua nataka kujua ina maana gani coz nmeiona sana kwny ancient picha za Egypt ...

Sent from my HTC_One_max using JamiiForums mobile app
umewahi kuona fimbo na kofia ya papa(pope) ina alama gani?
 
0b2565f993ce8421397b35ceba08c87b.jpg
82b40539857d0eebf9682a87bfdff253.jpg
b35f123e2010d1783e779d8de8225a2d.jpg
wadau hii misalaba inayojulikana kama ankh kama waliovaa ao wasanii sio misalaba ya kikristo...So basically nlikua nataka kujua ina maana gani coz nmeiona sana kwny ancient picha za Egypt ...

Sent from my HTC_One_max using JamiiForums mobile app

Kweli hiyo mikufu ilikuwa inavaliwa sana na mafiraoon wa egypt ndio alama yao sasa tunaiga sana bila kujua maana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom