Domo punguza stress..

Domo punguza stress..

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,034
Reaction score
2,119
Dogo Domo una stress trust me, na nina wasiwasi unapuliza sasa hivi mboga.

Ngoma tatu lakini hakuna jipya lenye kuleta muonekano mpya unafeli brother.

Mapenz yana kusumbua, tafadhali usichanganye na kazi dogo. Miko kumi ya Rap GK ft AY

Time hii ongeza meneger mmoja hata babu yako wa Kigoma ili uchanganye ladha fulani. Dunia inataka vitu fulani vitu vya asili mix .

Nilimwambia mke wangu siku moja ule wimbo wako je utanipenda? ndio kaburi lako la mziki usipo kuwa makini.

Nilimwambia kwasababu, kipindi wimbo wako wa kwanza pia nilimwambia utafika mbali na kweli umefika.

Hapo ulipo unaweza kufanya makubwa bila kushirikisha msanii wa Ulaya, tuliza akili lasivyo utapotea bro.

Kuwa makini sana, am your brother na Nakupenda sana, japo nakula sana misumari moto.
 
Yaani unamwambia Muha amshirikishe babu kwenye gemu? Waha mambo ya asili ni jadi yao, Muha hawezi fanya kitu bila kuhusisha matunguli toka kwa babu yaani hata kuoga tu lazima atatanguliza matunguli mbele kwanza. Kama alipata matunguli yalikuwa kwa muda tu na ndiyo maana sasa anaanza kuuza karanga kwa sababu alishashitukia upepo unabadirika.
 
Hivi Uchawi upo kweli??

Nauliza tena, Uchawi upo kweli???????
 
Maana yangu ni kuwa aweke asili mix kwenye mimbo pamoja na Video zake, sina maana ya tunguri.

Kama hao warembo kuwa visha mavazi ya karne ya babu yake, unawavisha mavazi hata kwenye Istra yapo? ..

Sio mbaya kuweka hata matunguri smart kuongeza mvuto na kuonyesha Dunia unatokea wapi? Au wewe Domo wa Ulaya kaka?

Ma Menager wake akili zimefika mwisho maana wameenda ulaya sana uwezo wa kufikiri umegota.
 
Hivi Uchawi upo kweli??

Nauliza tena, Uchawi upo kweli???????

Kwa Muha? Asikudanganye mtu....wale kwao kila kitu ni matunguli hata kunywa chai lazima waanze kuliomba tunguli kwanza. Watu wa Kigoma, Mbeya, Rukwa, Tabora, ni habari ingine kabisa na ndiyo maana mikoa yao haina kitu.
 
Yaani unamwambia Muha amshirikishe babu kwenye gemu? Waha mambo ya asili ni jadi yao, Muha hawezi fanya kitu bila kuhusisha matunguli toka kwa babu yaani hata kuoga tu lazima atatanguliza matunguli mbele kwanza. Kama alipata matunguli yalikuwa kwa muda tu na ndiyo maana sasa anaanza kuuza karanga kwa sababu alishashitukia upepo unabadirika.
Ni ujinga kuandika generalization kama hii......

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Muha? Asikudanganye mtu....wale kwao kila kitu ni matunguli hata kunywa chai lazima waanze kuliomba tunguli kwanza. Watu wa Kigoma, Mbeya, Rukwa, Tabora, ni habari ingine kabisa na ndiyo maana mikoa yao haina kitu.

Sio muha tu, hata kwetu mpaka kujamba tunaenda kuangalia kwenye tunguri kama mjambo una usalama au laaah
 
0b2565f993ce8421397b35ceba08c87b.jpg
82b40539857d0eebf9682a87bfdff253.jpg
b35f123e2010d1783e779d8de8225a2d.jpg
wadau hii misalaba inayojulikana kama ankh kama waliovaa ao wasanii sio misalaba ya kikristo...So basically nlikua nataka kujua ina maana gani coz nmeiona sana kwny ancient picha za Egypt ...

Sent from my HTC_One_max using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, Domondi amefika mwisho. Hakuna mwanamuziki aliyeurudia kuuimba wimbo wa mwanamuziki mwingine aliyebaki salama. Domondi amepoteza ubunifu, mvuto na ubora. Ameshagota!
Ni kweli Kuna creativity fulani imepotea kwenye nyimbo za Dayamondi ila sio kweli kwamba uki-sample wimbo wa mtu Basi Ndo mwisho wako. FA alisample Yalaiti aliisha? US nyimbo nyingi ni sampling mbona wasanii bado wapo.

Tatizo la Dayamondi ni producer wake, huyu Bwana mdogo ni wa kufanyia production wasanii wadogo sio Dayamondi. Hana creativity yakutosha na ana elements zile zile kwenye productions zake zote hasa matarumbeta.

Kuporomoka kwa Dayamondi sio Jambo la kufurahia hata Kidogo jamaa katutoa Kimasomaso kimataifa. Mkosoe kwa kumjenga. Punguza uteam naona unamponda Dayamondi vehemently kwenye kila post kama kakuibia mke
 
Mkuu, Domondi kaisha. Wewe endelea kumfagilia, mimi naendelea kusema kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom