DOMASA
Member
- Jun 19, 2012
- 16
- 10
Baada ya Maamuzi ya Serikali Kuhamia Dodoma, Domalyn Classic Salon wameingia Dodoma baada ya kutoa huduma Dar es Salaam. Akina dada na akina baba wanaohitaji kujiweka safi kuonekana vyema kunako ngozi na nywele tembelea saloni ya Domalyn Classic Salon iko Mkabara na Ofisi za TRA makao Makuu Dodoma wanatenganishwa na Barabara ya Nyerere upande wa Kazimoto Plaza ama wapigie simu 0743123093 ujionee utofauti. Unaweza pia kuwafuata Instagram na Facebook @domalynclassicsalon DomalynClassicSalon ---#FeelNaturalBeClassic!