Domalyn Classic Salon wameingia Dodoma

Ungependa kupata huduma DomalynClassicSalon

  • Sio

    Votes: 0 0.0%
  • Natafakari

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1

DOMASA

Member
Jun 19, 2012
16
10
Baada ya Maamuzi ya Serikali Kuhamia Dodoma, Domalyn Classic Salon wameingia Dodoma baada ya kutoa huduma Dar es Salaam. Akina dada na akina baba wanaohitaji kujiweka safi kuonekana vyema kunako ngozi na nywele tembelea saloni ya Domalyn Classic Salon iko Mkabara na Ofisi za TRA makao Makuu Dodoma wanatenganishwa na Barabara ya Nyerere upande wa Kazimoto Plaza ama wapigie simu 0743123093 ujionee utofauti. Unaweza pia kuwafuata Instagram na Facebook @domalynclassicsalon DomalynClassicSalon ---#FeelNaturalBeClassic!
IMG_20170919_221810.jpg
IMG_20170919_221748.jpg
IMG_20170919_221810.jpg
IMG_20170919_221748.jpg
 

Attachments

  • VID-20170920-WA0012.mp4
    10.4 MB · Views: 14
Solon kama hiyo niandae kiasi gani mkuu nikiwa na plan za kufungua mpya kabisa.?
 
Solon kama hiyo niandae kiasi gani mkuu nikiwa na plan za kufungua mpya kabisa.?
Gharama kubwa iko kwenye wazo ambalo tayari unalo, karibu Dodoma. Karibu [HASHTAG]#domalynclassicsalon[/HASHTAG]
 
asikudanganye mtu labda uwe mzee kiparangoto uzuri wa saloon ya kiume kinyozi wake tu hizo mbwembwe zingine kama huna vinyozi bobezi watu watawafuata warembo wa masage na scrub tu kunyoa watanyoa ndwvu tu hapo
 
Solon kama hiyo niandae kiasi gani mkuu nikiwa na plan za kufungua mpya kabisa.?
piga hesbu ya chumba cha kawaida kukirembesha kihivyo halafu ingiza hizo vitendea kazi ndio utaelewa mzee.
utahisi unajenga nyumba mkuu
 
piga hesbu ya chumba cha kawaida kukirembesha kihivyo halafu ingiza hizo vitendea kazi ndio utaelewa mzee.
utahisi unajenga nyumba mkuu
Ndio maana nikaomba kujua Gharama mpaka inakamilika ni bei gani. Mbona nilicho andika kinaeleweka Jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom