Domain

Domain

stepper

Senior Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
112
Reaction score
56
Mwenye uwezo wakutengeza domain yakampuni anitajie bei tufanye biashara

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mimi nina kambuni yangu nahitaji mtu anitengenezee domain eg gg@kijua.co.tz

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
mkuu, domain ni 25,000/=, hosting ni 60,000/=, gharama zote ni kwa mwaka.
hiyo hosting ni unlimited data space & bandwidth.
ntumie ur number tumalize biadhara.
 
Back
Top Bottom