domain name and web hosting services

domain name and web hosting services

Makirita Amani

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
1,914
Reaction score
3,438
nataka ku-uppload website yangu, naomba ushauri ni kampuni gani kwa tanzania hapa wanaotoa huduma za domain name na hosting kwa bei nafuu, pia ingekuwa vizuri kama ningepewa list ya options zinazotolewa na bei zake.
 
wasiliana na maxence Melo wa jamii forum/jamii media inc. wana bei poa na huduma ya uhakika! Wacha kukimbizana kwingine. Hata ukidrop PM kwa invisible bado utasaidiwa tu!
@Makirita Amani
 
Angalia alivyokushauri kaa la moto hapo chini, wasiliana na invisible. Mimi mwenyewe nawakubali hao jamaa hawana mpinzani hapa tz

nataka ku-uppload website yangu, naomba ushauri ni kampuni gani kwa tanzania hapa wanaotoa huduma za domain name na hosting kwa bei nafuu, pia ingekuwa vizuri kama ningepewa list ya options zinazotolewa na bei zake.
 
Makirita Amani wasiliana nami ntakusaidia kwa gharama nafuu kabisa
 
Last edited by a moderator:
Nashauri utumie Extreme Web Technologies.
Wako fast na Customer care na sijapata matatizo makubwa so far!
 
Extreme customer support hovyo kabisa... Experts wachache
 
hiviii ngoja niulize hawa jamaa wanaohost tanzania wana server zao hapa hapa bongo au nao ni reseller tu wananunua space kwa jumla then wanahost bongo
 
Donn,
Mimi binafsi sijapata tatizo nao maana nikiwataarifu ishu yoyote wanaimaliza kwa wakati. Mara ya mwisho kufanya nao kazi ni lini?
 
Last edited by a moderator:
hiviii ngoja niulize hawa jamaa wanaohost tanzania wana server zao hapa hapa bongo au nao ni reseller tu wananunua space kwa jumla then wanahost bongo

Nadhani ni aidha reseller au wana servers zao nje ya Tanzania. Kwa umeme wetu na gharama za private IP sidhani kama ni practical kuweka mashine zao hapa! chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
hiviii ngoja niulize hawa jamaa wanaohost tanzania wana server zao hapa hapa bongo au nao ni reseller tu wananunua space kwa jumla then wanahost bongo

Most ni resellers, mfano ilovetz na extremewebtechnologies. But wapo walionunua servers ktk Datacenters mbali mbali. Sidhani kama wanaweza tunza bongo
 
Donn,
Mimi binafsi sijapata tatizo nao maana nikiwataarifu ishu yoyote wanaimaliza kwa wakati. Mara ya mwisho kufanya nao kazi ni lini?

ni mwaka huu huu... Na mpaka nikagairi kabisa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom