concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,994
- 15,449
Ungeleta total export ya Uganda kwa kulinganisha na kipindi cha nyuma.Wewe kwa akili yako chai na kahawa ndio imefanga kuwa na hilo poromoko? Kila mwaka mauzo ya kahawa Uganda yanaongezeka kwa nn hakukua na poromoko?
2020/21 Uganda waliexport kahawa ya thamani ya $550m+
But kwa 2022/23 thamani iliongezeka hadi $860m+. Hapo kwa nn dollar haikuporomoka ije iporomoke kwa ongezeko la kutoka $860m to $1.1b??
Acha uongo
U.s federal reseve alishusha interest rate ambayo iko 4.5
Bot hananguvu ya kucontrol soko la dollar acha uongo
Kwa hii situation Tsh ndio inayoimarika, dollar iko pale pale. Sababu Price ya Gold haijabadilika sana ukilinganisha na mwezi ulipita.Acha uongo
U.s federal reserve walishusha interest rate
Kwani bei za Mafuta zilipopanda ni Serikali ilioandisha Hadi alaumiwe Samia?Msikilize Ruto kuhusu kushuka kwa bei ya petroli, halafu ujitafakari!
View: https://youtu.be/pvchKykQv5M?si=m71s6wUMT9EvWEVx
Trump akiingia madarakani haya unayoyaongea utaona yanaenda vice versa,dola itapanda Tu c mwezi ujaoNi kweli Dollar imeanza kushuka na shilingi ya kitanzania imeanza kuimarika hi kwa sababu kuu mbili
1. BOT ilikua na mnada wa hadhara wa dola na ilinunua dola za kutosha ili kukidhi manunuzi mbalimbali
2. Mapema mwezi 11 serikali ilianza kununua dhahabu ambayo itaiwezesha serikali kuuza na kupata pesa za kigeni moja kwa moja. Serikali kununua dhahabu ilitakiwa kuanza hili muda mrefu sana ili kupambana na upungufu wa pesa za kigeni, ila tunashukuru kwa kuchukua hatua
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Mnataka kutembelea beats za wenzenu? Wenzenu wafanye yao halafu ninyi mtake kuchukua credits?Ni kweli Dollar imeanza kushuka na shilingi ya kitanzania imeanza kuimarika hi kwa sababu kuu mbili
1. BOT ilikua na mnada wa hadhara wa dola na ilinunua dola za kutosha ili kukidhi manunuzi mbalimbali
2. Mapema mwezi 11 serikali ilianza kununua dhahabu ambayo itaiwezesha serikali kuuza na kupata pesa za kigeni moja kwa moja. Serikali kununua dhahabu ilitakiwa kuanza hili muda mrefu sana ili kupambana na upungufu wa pesa za kigeni, ila tunashukuru kwa kuchukua hatua
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Mkuu kumbuka mwezi February ndio miezi wengi huenda kufanya manunuzi China especially wabongo maana kila kitu kinakua bei Chini na ndo kipindi ambako ni kama hakuna exports kabisa karibia migod mingi hufungwa kwa sababu ya mvua, watu wanakuwa busy mashamban kunakuwa na uhitaji mwingi kuliko mauzo lazima dollar itapanda ila sio kwa hiyo extend unayoongeleaMnataka kutembelea beats za wenzenu? Wenzenu wafanye yao halafu ninyi mtake kuchukua credits?
Mtasubiri sana. Tukutane hapa February hadi April uje uingee haya madudu.
Kina nani hao waliofanya?Mnataka kutembelea beats za wenzenu? Wenzenu wafanye yao halafu ninyi mtake kuchukua credits?
Mtasubiri sana. Tukutane hapa February hadi April uje uongee haya .
Kwani Trump ataipandishaje Dola Sasa,FDI zinaongezeka,exports zinaongezeka hiyi Dola kupanda itoke wapi kisa Trump? Hujui unaloongea 👇👇Trump akiingia madarakani haya unayoyaongea utaona yanaenda vice versa,dola itapanda Tu c mwezi ujao
USA kupunguza interest rates haina mahusiano haina mahusiano makubwa sana .alichoshusha ni rates za mikopo kwa benki . Mfano Bot ndo banker wa commercial banks zote nchini na Kuna kiwango taxi la benki halitakiwi kuzid. Sasa ili kufanya pesa iwepo mtaani benki kuu ya USA imeshusha kiwango cha riba anachokopesha hizo financial institution ili nazo zishushe riba kwa zinawakopesha ili kuwepo na mzunguko. Commercial banks zikishusha riba ya mikopo yaan letsay kutoka 20 mpaka 13 inamaana gharama ya kulipa madeni itapungua sana wawekezaji watavutiwa sana maana kutakuwa na purchasing power kubwa na gharama ya kupata capital kwenye financial institution itapungua USA.Wewe kwa akili yako chai na kahawa ndio imefanga kuwa na hilo poromoko? Kila mwaka mauzo ya kahawa Uganda yanaongezeka kwa nn hakukua na poromoko?
2020/21 Uganda waliexport kahawa ya thamani ya $550m+
But kwa 2022/23 thamani iliongezeka hadi $860m+. Hapo kwa nn dollar haikuporomoka ije iporomoke kwa ongezeko la kutoka $860m to $1.1b??
Na akipandisha interest rates at discourage matumizi ya ndanj hivyo kupelekea fedha zikosekane mtaani, mikopo iwe gharama na bidhaa zake ziwe ghali hivyo kushindwa kuendelea kushindana na mchina, ili ashindane na mchina usd inatakiwa iwe chini kuvutia exportationTrump akiingia madarakani haya unayoyaongea utaona yanaenda vice versa,dola itapanda Tu c mwezi ujao
In July 2024, Tanzania introduced several policy changes aimed at reducing dollar demand and supporting the local currency. One notable measure is the prohibition of foreign currency transactions for domestic trade, designed to limit the internal need for U.S. dollars. Additionally, the government has launched a gold purchase program to diversify its foreign reserves. To date, Tanzania has acquired 976.51 kilograms of gold toward a target of six metric tonnes by June 2025. This approach reduces the need to source dollars for the reserve, as the gold is locally sourced and purchased with Tanzanian shillings.Trump akiingia madarakani haya unayoyaongea utaona yanaenda vice versa,dola itapanda Tu c mwezi ujao
Tanzania bidhaa asilimia 90+ wana-import na wanatumia dollar kuzinunua huko nchi ya njeUSA kupunguza interest rates haina mahusiano haina mahusiano makubwa sana .alichoshusha ni rates za mikopo kwa benki . Mfano Bot ndo banker wa commercial banks zote nchini na Kuna kiwango taxi la benki halitakiwi kuzid. Sasa ili kufanya pesa iwepo mtaani benki kuu ya USA imeshusha kiwango cha riba anachokopesha hizo financial institution ili nazo zishushe riba kwa zinawakopesha ili kuwepo na mzunguko. Commercial banks zikishusha riba ya mikopo yaan letsay kutoka 20 mpaka 13 inamaana gharama ya kulipa madeni itapungua sana wawekezaji watavutiwa sana maana kutakuwa na purchasing power kubwa na gharama ya kupata capital kwenye financial institution itapungua USA.
Sasa hapo Kuna madhara gani kwa Tanzania au interest iliyoshushwa ni ya dollar kwenda kwenye currency nyingine?
Acha uongo alipandisha interest rate kama kukabiliana na inflation a.k.a overheating kwenye uchumi wa marekaniNa akipandisha interest rates at discourage matumizi ya ndanj hivyo kupelekea fedha zikosekane mtaani, mikopo iwe gharama na bidhaa zake ziwe ghali hivyo kushindwa kuendelea kushindana na mchina, ili ashindane na mchina usd inatakiwa iwe chini kuvutia exportation
Wakati dollar imepanda black market ilikua $1=2850 saiv dollar imeshuka black market ni $1=2580-2620Outdated
Ndio tunanunua nje bidhaa nyingi ila ili dollar ishuke na tuwe na surplus lazima na sisi tuuze nje. Ndo maana ukiangalia hata maelezo yangu ni kuwa usd kushuka inaweza kuwa pia na kuongeza kwa mahitaji ya shilling kwa ajili ya ununuzi wa bidhaa za nje.Tanzania bidhaa asilimia 90+ wana-import na wanatumia dollar kuzinunua huko nchi ya nje
Zitashuka tu trend ikienda hiviPetrol na diesel zishuke bei sasa
Tununue 2500 Kwa Lita ya petrol
Kwanini imeanza kushuka miezi hii baada ya u.s federal reserve kuanza kushusha interest rate na sio miezi mingineNdio tunanunua nje bidhaa nyingi ila ili dollar ishuke na tuwe na surplus lazima na sisi tuuze nje. Ndo maana ukiangalia hata maelezo yangu ni kuwa usd kushuka inaweza kuwa pia na kuongeza kwa mahitaji ya shilling kwa ajili ya ununuzi wa bidhaa za nje.
Mfano wanunuzi wa korosho,ufuta na mbaazi wanakuja na dollar ila mkulima wa tandahimba yeye anataka shilling tu ,kwahiyo huyo mnunuzi inambidi atafute shilling kwa namna yoyote ili aweze kununua korosho, hivyo kuongeza mahitaji ya shilling na kupatikana kwa usd na ndio maana ukiangalia kwa mwaka huu tanzania imepunguza trade deficit kwa kiwango kikubwa sana kwa sababu imeuza bidhaa nyingi sana nje za almost usd 17bil