Dollar ya Marekani yaporomoka baada ya Trump kuongoza

Dollar ya Marekani yaporomoka baada ya Trump kuongoza

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,697
Reaction score
58,743
Dollar ya Marekani imeporomoka vibaya baada tu ya Donald Trump kuongoza kwenye uchaguzi wa Marekani

Dola imeporomoka hasa kwenye bara la Asia .

Imeripotiwa Japan ,Uchina na Australia

Source: BBC
 
Dollar ya marekani imeporomoka vibaya baada tu ya Donald Trump kuongoza kwenye uchaguzi wa marekani

Dora imeporomoka hasa kwenye bara la Asia .

Imeripotiwa Japan ,Uchina na Australia

Source Bbc
Dora ni kitu gani huko states Mkuu??
 
a9eec508f0812b4c53842780487630d7.jpg
 
Back
Top Bottom