Doli doli doli!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Mrembo Jokate, hongera sana, nchi yetu inakuhitaji, na kila la heri!

 
Yana nini, wacha kushabikia bongo fleva na ujitume kijana utafanikiwa tu. Bongo fleva yenu ni upuuzi tu na mnapoteza muda bure.
Asante mzee mwenye mvi za chuma
Hujui nilichomaanisha ila kwa 'furustresheni' zako umejiaminisha nashabikia, nadhani ningeweka neno langu muda huu ningekua natafuta mdhamini. Chunga hilo fupa lililobeba macho, masikio na pua huenda likakufaa siku moja. Nyambafu
 
Maisha bhana!!!!!
Una 35 yrs? Watu bana; mil 10 kwa mwezi eti maisha; yaani mil 140 kwa mwaka wewe huwezi kupat? mikono unayo bichwa kubwa la kufikiri u alo sasa huwezi kuzipata? maisha unayo kwenye kiganja chako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…