eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,408
Na dola hilo litakaporudi pia litakuwa na nguvu kubwa kiuchumiHaiwezekani !!. Ninachojuwa ni kuwa tutaendelea kutawaliwa ki UCHUMI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyo mweupe kichwani km mvi za lowasa unaonekana hujui tofauti ya Dola ya rumi na Roma/kanisa katoliki.unachanganya as if ni kitu kimoja.Wakuu habari ya kwenu napenda niwasalimu wote kwa jina la alieumba Mbingu na Nchi
Kama kichwa cha habari kisemavyo dola ya Rumi itarejea tena
Sote tunajua zilipita Dola kadhaa zenye nguvu kubwa zilizotawala dunia
Na Dola hizo ni Babel, waajemi wakishirikiana na wamedi, wayunani, na Warumi.
Sasa maandiko yanatuambia Rumi itarudi tena yaani hii dola ya Rumi ambayo ilikuwa ya mwisho kutawala dunia itarudi tena ikiwa na nguvu zile zile
Cha muhimu cha kujua ni kwamba hii Dola ya Rumi kwa sasa haipo ila itarudi ikiwa na nguvu tena kama zamani za utawala wao kikaisari
Sasa ni vyema kuitazama Italy kwa makini kwa sasa japo inaonekana kiuchumi iko nyuma sana lakini kwa wakati ujao utawala wake utakuwa na nguvu sana
Andiko ni lazima litimie na utawala utakaokuwa hapa kwa wakati huo ni utawala wenye nguvu mno dunia
Na utawala huo utakapokuja utashirikiana na nchi zenye nguvu duniani
Yaani Dola hii ya Rumi itakapokuja itashirikiana na mataifa mengine yenye nguvu Duniani
Cha msingi kwa sasa ni kuitazama Italy kwa makini kwa sasa maana andiko ni lazima litimie hapo kwa siku za mbeleni
Cha muhimu ni kujua dola ya Rumi itarudi tena siku za mbeleni ikiwa na nguvu zile zile ilizokuwa nazo Dola ya Rumi ya kale
Tukumbuke Dola ya Rumi ya mangharibi haikupinduliwa, Bali iliparanganyika yenyewe kutokana na kuwa kulikuwa hakuna vita tena kwa hiyo kila mahali wakajitangazia Uhuru kulingana na maeneo yao, kutokana na kipindi kirefu cha amani ya Dola hilo la Roma ya magharibi
Hivyo ndivyo Dola ya Rumi ya Magharibi ilivyoparanganyika
Sasa Unabii unasema Dola hili la Roma Litarudi tena likiwa na nguvu siku za mbeleni huko
ieleweke hii Dola kwa sasa Haipo
Ila itarejea
Mambo yote ni Italy ya sasa Tuitazame vizuri hii Nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Koloni za zamani ziliwezekana kwa sababu ya uelewa na mazingira ya wakati huo. Leo karibu kila nchi na jamii kuna wasomi na uzalendo ni mkubwa sana . Rumi tuliyenaye leo ni USA na anaitawala dunia kiuchumi na si vinginevyo .
Bahati mbaya sijazungumzia kanisa kwenye hii madaUlivyo mweupe kichwani km mvi za lowasa unaonekana hujui tofauti ya Dola ya rumi na Roma/kanisa katoliki.unachanganya as if ni kitu kimoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
USA haitawali dunia na hatawezaKoloni za zamani ziliwezekana kwa sababu ya uelewa na mazingira ya wakati huo. Leo karibu kila nchi na jamii kuna wasomi na uzalendo ni mkubwa sana . Rumi tuliyenaye leo ni USA na anaitawala dunia kiuchumi na si vinginevyo .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hilo sio Dola kwa sababu hata zamani za Rumi yenye nguvu kanisa hili likikuwepo na halikuwa na nguvu yoyoteMbona kanisa Katoliki ni sawa tu na ile dola ya Kirumi ya zamani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoto hizo.Wakuu habari ya kwenu napenda niwasalimu wote kwa jina la alieumba Mbingu na Nchi
Kama kichwa cha habari kisemavyo dola ya Rumi itarejea tena
Sote tunajua zilipita Dola kadhaa zenye nguvu kubwa zilizotawala dunia
Na Dola hizo ni Babel, waajemi wakishirikiana na wamedi, wayunani, na Warumi.
Sasa maandiko yanatuambia Rumi itarudi tena yaani hii dola ya Rumi ambayo ilikuwa ya mwisho kutawala dunia itarudi tena ikiwa na nguvu zile zile
Cha muhimu cha kujua ni kwamba hii Dola ya Rumi kwa sasa haipo ila itarudi ikiwa na nguvu tena kama zamani za utawala wao kikaisari
Sasa ni vyema kuitazama Italy kwa makini kwa sasa japo inaonekana kiuchumi iko nyuma sana lakini kwa wakati ujao utawala wake utakuwa na nguvu sana
Andiko ni lazima litimie na utawala utakaokuwa hapa kwa wakati huo ni utawala wenye nguvu mno dunia
Na utawala huo utakapokuja utashirikiana na nchi zenye nguvu duniani
Yaani Dola hii ya Rumi itakapokuja itashirikiana na mataifa mengine yenye nguvu Duniani
Cha msingi kwa sasa ni kuitazama Italy kwa makini kwa sasa maana andiko ni lazima litimie hapo kwa siku za mbeleni
Cha muhimu ni kujua dola ya Rumi itarudi tena siku za mbeleni ikiwa na nguvu zile zile ilizokuwa nazo Dola ya Rumi ya kale
Tukumbuke Dola ya Rumi ya mangharibi haikupinduliwa, Bali iliparanganyika yenyewe kutokana na kuwa kulikuwa hakuna vita tena kwa hiyo kila mahali wakajitangazia Uhuru kulingana na maeneo yao, kutokana na kipindi kirefu cha amani ya Dola hilo la Roma ya magharibi
Hivyo ndivyo Dola ya Rumi ya Magharibi ilivyoparanganyika
Sasa Unabii unasema Dola hili la Roma Litarudi tena likiwa na nguvu siku za mbeleni huko
ieleweke hii Dola kwa sasa Haipo
Ila itarejea
Mambo yote ni Italy ya sasa Tuitazame vizuri hii Nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, upeo wa kuelewa nao ni tatizo jengine tunalo.Bahati mbaya sijazungumzia kanisa kwenye hii mada
Mada ni kuhusu kurejea kwa dola la Roma Upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtazamo wako huoUkitaka kuekewa lazima ulinganishe vitu . Huna habari wazee wa dunia kwa sasa ni Jesuits ? Hebu punguza hizi mvi kichwani ili uelewe ! Nia yako si dola yenye nguvu kama Rumi ya kale !
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo kiuhalisia mkuuni rahisi persian kusimama tena ila sio rumi labda km upo kiimani zaidi ila kiuhalisia ni ngumu
Hii mada sijazungumzia mambo ya VaticanKuna kitu umekosea Mamlaka yamekabidhiwa kwa PAPA yeye ndiye atakaye tawala dunia.
Roma empire.... Tangu juzi nilikuwa nasoma history na movie za Roma empire... Wajamaa walikuwa na nguvu Sana... Julius Caesar mark Antony Pompey na Augustus Caesar_first Roma empire ase hawa watu ni shidaWakuu habari ya kwenu napenda niwasalimu wote kwa jina la alieumba Mbingu na Nchi