Dola Milioni 8 Kujenga VIP Lounge JK Airport

Kidogo nipate presha niliposikia eti VIP Lounge ya pale JNIA imegharimu bilioni 12. Jamani huu utani. Hakuna jengo hata la nusu bilioni pale. Nundu na wenzake watatusababishia shinikizo jamani
 
Bwana Mazingira hiyo yako kidogo naona imetoka kwenye mstari.

Ni mfanyabiashara gani anaetaka kujenga majengo na madaraja bure?
 
Sijafika hapo, ila nasikia ujenzi wenyewe ni wakawaida tu!

Hata Ungekuwa sio wa Kawaida ila 12,000,000,000 Haingii Akilini!! Mimi nina deal na mambo ya Ujenzi ila kwa ujenzi wa aina hiyo ninaukadiria sana Gharama yake Haizido 800,000,000!! Sasa ndio naelewa kwa nini kwenye Shule zetu za Kata Hakuna Madawati, Matundu ya Vyoo, na Vyumba vya Madarasa!! Eeh Mungu Tuokoe!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom