thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,864
- 4,847
Inawezekana records zangu zikawa nimechanganya,
lakini bado sijatofautiana sana, mwezi january 1usd=1780tsh.
http://www.bot.go.tz/FinancialMarkets/ExchangeRates/ShowExchangeRates.asp
Best US Dollar Exchange Rates
ila mpaka kufikia mwezi machi 2015 exchange rate ya TZA ilikuwa
ni 1usd=1850tsh, na hapo ilikuwa imeanguka tena.
US Dollar to Tanzanian Shilling Exchange Rate History on 31 March 2015 (31/03/2015)
Statistics ambazo unaonyesha wewe zimeanza kuhesabiwa kuanzia mwezi wa saba kipindi ambacho shilingi ndo imeanza kushuka kwa kasi.