Mimi nilishasema siku nyingi, hakuna mtu mwenye akili anayeshangilia CCM bila kutaka pesa. Si siku nyingi nilikutana na rafiki yangu mmoja hapo London aliyekwenye kamati ya CCM UK nikamuuliza kiungwana kwa nini anapenda CCM, jibu lilikuwa dogo alisema, "Mkuu CCM kuna pesa, ukisikia Tanzania ni masikini ni ujinga wetu". Sikuendelea naye. Wote walio CCM hapa UK ni kutafuta pesa tu.