| Thanks alot! (What Is the Apgar Score?) Apgar Scoring | |||
| 2 | 1 | 0 | |
| Heart Rate (pulse) | Normal (above 100 beats per minute) | Below 100 beats per minute | Absent (no pulse) |
| Breathing (rate and effort) | Normal rate and effort, good cry | Slow or irregular breathing, weak cry | Absent (no breathing) |
| Grimace (responsiveness or "reflex irritability") | Pulls away, sneezes, coughs, or cries with stimulation | Facial movement only (grimace) with stimulation | Absent (no response to stimulation) |
| Activity (muscle tone) | Active, spontaneous movement | Arms and legs flexed with little movement | No movement, "floppy" tone |
| Appearance (skin coloration) | Normal color all over (hands and feet are pink) | Normal color (but hands and feet are bluish) | Bluish-gray or pale all over |
Tumesema hizi ni point kuanzia 2(hi-score),1(afadhaliy na 0(mbaya)Pointi hizi anapata katika vigezo vyetu vile vitano.Ina mana ss point ni kati ya 0(kafa) mpaka 10.Pointi hizi hutolewa baada ya tu mtoto kutoka,halafu baada ya dk 5 na kama ana hali mbaya hata baada ya dk 10. Mfano Kupumua(kulia):kama amelia kwa kutumia nguvu na anahema vizuri ni pointi 2,akilia kichovu na kuhema kwa mapozi au anagwaya ni 1 na asipofanya lolote ni 0.Kuangalia motorsystem relexis(misuli)unambeba halafu unafanya km unamwangusha hivi...utamwona anashtuka sn...unajaza.mara nyingi hawatoi zote 10 kwa hiyo mtoto mzima kabisa anapata 8.sikumbuki kwa nn
SASA HAPO NDIO UNGETAFSIRI UNGEPATA JIBU LAKO usikariri utajafeli maana hata temp. 98.6 ( ) hukuielezea ni F au Centigrade mtihani utacopy na kupasteThere are all kinds of theories, but no one knows
for 100% certaintly.
Popular theories are things
like the trauma of being pushed out,
the
sensation of having to inflate their lungs with
air, or the change in temperature from 98.6 to
being thrust into a cold hospital environment.
Babies that are born in warm waterbirths
sometimes don't cry, but are obviously fine and
aware when they're brought up.....Kukariri na kuwa na mawazo mgando(irrational) ni janga la kitaifa.
Mkuu.@Mupirocin na Mkuu.@green_marwa Mbona mnagombana? badala ya kumsaidiaWakuu kwa kujubu maswali ya mchango wenu ni kuwa mpaka sasa mtoto huyu hakai, hasimami wala hatembei, shingo yake pia ni legevu, haijakaza.
Lakini pia binti huyu, hana mtoto mwingine, huyu ndiye mtoto pekee aliyejaliwa na mwenyezi Mungu mpaka sasa.
Katika ukoo wa mama na baba tatizo hili halijawahi kuwepo. Binafsi sijawahi kumwona mtoto huyu ila mama ake anamtaja kuwa ni mchangamfu na anacheza vizuri lakini katika hali ya kuwa amelala.
Naomba nielezwe zaidi juu ya hii APGAR Score. mfano: wangu aliscore 8 hii tafsiri yake ni nini?