Jaman msibweteke nyumban Njoon mjionee wenyewe. Mie niko Huku toka nimemaliza chuo mwaka huu, pesa ni simpo kupata tofaut na mnavyofikiria. Kila business inalipa. wako nyuma sana na niwabishi kubadilika soo u take that advantage, usafir bado niwa vicanter in most parts of the country, na hata huo usafir wenyewe niwamagumash. Kodi za pango kweli zko juu sana huwez compare na za kwetu. pia waja survey gest za Huku Jaman n Bei kinoma yenye AC jiandae kuanzia 60000 kupanda hapo ni kitanda na tv mchina. msos jiandae kipate ya kutumia grader kutafuna la sivyo uwe na 10000 kwa sahan ya ukweli. Ila hela inapatikana sema wewe unapenda ufanye nin. Hata ukisema uuze nyanya za tz utakuwa milionea. mchele wa tz ukipatikana Unanunuliwa kwa dhaman ya sh 3000 kwa kilo. Pia wengi anapokuwa fanya biashara Huku wasom ni wa kuhesabu. Sasa nawashangaa watu mmesomea engineering mnanakaa dar 2 wakat Huku ukijiwekea kagerej bubu. Kwa mwaka unajenga ghorofa.
SEHEM IPI YA BIASHARA. mikoa yote inalipa Ila nampula ndo jiji la kibiashara zaid ingawa kuna competition kubwa sana lkn sio kama dar, pia Beira na Maputo nako kuko byere Tatizo ni mbali sana almost kama km 2800 kutoka mpakan kwa mtwara. Kama hamuamin subirin mumoone Huyo MANING NICE[kama hatakuwa na mabasi karibia nchi nzima within 2 yrs. Tahadhar. Askar wa Huku ni wasambuf hakuna mchezo yakupasa masaa arobain uwe na paspot