Doing Business in Mozambique

saq

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
268
11
Wakuu wa JF !

Anyone been to Mozambique ?
Share your experience, hasa kwenye mambo za business kama umifunguwa duka or biashara namna ipi zina faa !
suggest and share !
 

Mazingira

JF-Expert Member
May 31, 2009
1,833
295
MKuu unafahamu kireno wewe? Vinginevyo lugha yaweza kuwa barrier kwako.
 

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,942
1,858
mademu wale machotara wa kireno na msumbiji ni wazuri sana halafu wanawashobokea sana wabongo.
 

LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,403
1,295
mkuu Dickson umesharudi moza., tuwasiliane, nitumie ile email yako nilipoteza kile kikaratasi nilichoandika

all the best bro

dudubeng
 

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,774
7,339
Jaman msibweteke nyumban Njoon mjionee wenyewe. Mie niko Huku toka nimemaliza chuo mwaka huu, pesa ni simpo kupata tofaut na mnavyofikiria. Kila business inalipa. wako nyuma sana na niwabishi kubadilika soo u take that advantage, usafir bado niwa vicanter in most parts of the country, na hata huo usafir wenyewe niwamagumash. Kodi za pango kweli zko juu sana huwez compare na za kwetu. pia waja survey gest za Huku Jaman n Bei kinoma yenye AC jiandae kuanzia 60000 kupanda hapo ni kitanda na tv mchina. msos jiandae kipate ya kutumia grader kutafuna la sivyo uwe na 10000 kwa sahan ya ukweli. Ila hela inapatikana sema wewe unapenda ufanye nin. Hata ukisema uuze nyanya za tz utakuwa milionea. mchele wa tz ukipatikana Unanunuliwa kwa dhaman ya sh 3000 kwa kilo. Pia wengi anapokuwa fanya biashara Huku wasom ni wa kuhesabu. Sasa nawashangaa watu mmesomea engineering mnanakaa dar 2 wakat Huku ukijiwekea kagerej bubu. Kwa mwaka unajenga ghorofa.
SEHEM IPI YA BIASHARA. mikoa yote inalipa Ila nampula ndo jiji la kibiashara zaid ingawa kuna competition kubwa sana lkn sio kama dar, pia Beira na Maputo nako kuko byere Tatizo ni mbali sana almost kama km 2800 kutoka mpakan kwa mtwara. Kama hamuamin subirin mumoone Huyo MANING NICE[kama hatakuwa na mabasi karibia nchi nzima within 2 yrs. Tahadhar. Askar wa Huku ni wasambuf hakuna mchezo yakupasa masaa arobain uwe na paspot
 

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,377
539
Speedy,umetupa data nzuri,ila umeandika very spidy,pungunza mwendo kasi ktk kuandika.
MtAji wa dola ngapi unatosh a kwa faida ya dola elfu 3 kwa mwezi
 

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,774
7,339
Speedy,umetupa data nzuri,ila umeandika very spidy,pungunza mwendo kasi ktk kuandika.
MtAji wa dola ngapi unatosh a kwa faida ya dola elfu 3 kwa mwezi

mtaji na faida inategemeana na biashara na wakat wenyewe, kwa mfano kwa wale wanao deal na nguo, kipindi cha mavuno speed huwa kubwa sana na Hapa mara nyingi faida huwa ni mara mbili kwa maeneo kama Pemba na Beira Ila cku za kawaida faida ni kiasi kwa upande wangu Ila kubwa kuliko sehem yoyote tz. Kuhusu mtaji, Hapa return inategemeana na maeneo Ila kama unataka super profits, ya 4 times nenda Maputo. inshot ni hivi Huku hakuna gerej za maana,hospital hakuna, maduka ya dawa n kama hakuna kabisa, misos ndo wanategemea mostly imports especially azam ndo muuzaj. nadeal na misos, experience yangu kama unaweza wekeza kwenye mikate unataka rt hiyo bas jiandae na running capital ya usd 2500 kwa mwez
 

Edgartz

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
241
20
Mkuu umeongea kweli kuhusu mozambigue me mwenyewe nipo huku toka mwezi wa kwanza... Kweli askari wasumbufu ila ukiwa na bijeti hawana usumbufu
 

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,219
12,257
Nina Dola 1500 Capital ,natafuta Partner tuzame wote Moza next year.preferably tuanze na bizness ya mikate kwa kuwa na bekari
Ukitaka kuja kufungua jijini Maputo inatakiwa utengeneze mikate ya hapa Msumbiji,ukitengeneza mikate ya slesi utakula mwenyewe sababu ya bei yako.ningekuwa na picha ya huo mkate ningekubandikia hapa..
 

LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,403
1,295
Ukitaka kuja kufungua jijini Maputo inatakiwa utengeneze mikate ya hapa Msumbiji,ukitengeneza mikate ya slesi utakula mwenyewe sababu ya bei yako.ningekuwa na picha ya huo mkate ningekubandikia hapa..

mkuu washawasha, umepotea sana

hao jamaa vyakula vyao vyenye asili ya ki portugese wanapenda sana kutumia vitunguu saumu, unaweza kujua kama vinaweza kuwa ni potential au soko linaweza kupatikana?
 

Gongolo

Member
Oct 21, 2010
83
18
je unapovuka mpaka kutoka tz kwenda mozambique na mizigo mpakani hawasumbui? Ni vibali gani vinahitajika ili mizigo ipite?
 

Edgartz

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
241
20
je unapovuka mpaka kutoka tz kwenda mozambique na mizigo mpakani hawasumbui? Ni vibali gani vinahitajika ili mizigo ipite?

Hamna sumbufu wowote uwe na pesa ya kulipia mzigo tu ila kama utapitia nchi nyingine ndo ufike mozambigue ndo utapata usumbufu kidogo inakubidi kuacha bondi pesa kidogo mfano unatoka tz kuja mozambigue kupitia malawi au zambia ndo unatakia kuacha dispot kwenye boda za nchi utakazopitia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom