Doh! Hawa matapeli hadi wamekuwa kero sasa

Doh! Hawa matapeli hadi wamekuwa kero sasa

Mbona akitukanwa mtu au akibakwa mtu gesti just asubuhii yake mtu kakamatwa...hawa wanaruhusiwa. Au kusudi
 
Ila cha kushangaza wanaijuaje cv yako kwamba uliapply kazi au wanakuwa ni wafanyakazi wa kampuni husika wanacheza dili na matapeli?
 
Kuna "wajasiriamali" wameona fursa ktk ajira, wametbua kuwa kuna watu lukuki wanatafuta kazi hivyo nao wamechukua fursa ya kuwaibia!
 
Mi nilipoteza kabla wakati nasafiri nje ya nchi.kabla sijaenda kuifunga laini nikashangaa namba yangu imebadilishwa jina,na inatumika kuombea pesa. Iliomba pesa almost phone book nzima.
 
aixee huyu mr.kauga ni nouma xna mm Pía Alitaka kunitapel kupitia kampun la delip anasema nimtumie 35000 then anipe maswal ya interview.....ĺäbda watakuwa members katika kampun wanashirikiana
 
kupitia application utakazo fanya kwa kuattach cv then unaapply kupitia zoom ndio wanapozipatia cv.
 
Back
Top Bottom