Hao ndio wadudu gani?unataka tuseme ili mtushike mkatubane kende na prize...
Huwa natamani mtu aje anibane kende, maana nimeshachoka na maisha, nimtukane nani mkuu wa mkoa au?unataka tuseme ili mtushike mkatubane kende na prize...
Yeye angeitwa Mbwa ingekuwaje?Acheni kukuza mambo wazee, Rais alikuwa anatoa dongo kwa wanasiasa wasioona juhudi za serikali kwa kupitia Sanaa ya mashairi ya Mwana FA.
Please nini unawez sema kuhus hili[emoji24][emoji24]View attachment 3077152
View attachment 3077451View attachment 3077452Please nini unawez sema kuhus hili[emoji24][emoji24]View attachment 3077152
Si mnamuita chura ama! Rais wetu Hana shida na maneno ya watu.Yeye angeitwa Mbwa ingekuwaje?
Shida mbona wameweka mbwa wakali ilibidi waweke Mbwa koko wale wanakula had maembe
Mwite Chura hadharani mbele ya halaiki ndio tujue kuna shida au la.Si mnamuita chura ama! Rais wetu Hana shida na maneno ya watu.