Jamaa yuko sahii lunya??yuko wapi bonge la nyau,jinaacha kukariri...tayari jina lake limeshapenya katika showbiz regardless of how weird it sounds.
๐๐๐๐๐๐๐ kwanini mkuu...?Hamna rapper hapa..
Msanga BembezaMsanga ipi? Sokoni au Zalala?
Mdogo wake Lunyamila
Alifanyiwa nini mkuu?๐Alicho fanyiwa na young killer, hatokuja kusahau๐๐
*****๐๐Mdogo wake Lunyamila
LoonyerHili jina liwe la kibiashara ajiitaje?
Ila kwao kumechokaKwao ni kiwalani